Nunua Kuku mmoja hakikisha unamlinda kishenzi awe wakienyeji hakikisha mtaa wenu kuna jogoo kubwa inayobaki nunua Chakula cha 10000 akitotoa watoto wafungie getoni kwako theni muache huyo Kuku nje akitaga uza mayai ili yahudumie watoto wakikua kua ukiona huna chochote muuze huyo Kuku endelea kuwalisha vifaranga hakikisha asife hata mmojaMsaada Jaman Nina Mtaji Wa Elf 20 Je Naweza Kufanya Biashara Gan?
Ushauri mzuri ila hapo kwenye kuhakikisha asife hata mmoja ndio naomba maujanja hahahaNunua Kuku mmoja hakikisha unamlinda kishenzi awe wakienyeji hakikisha mtaa wenu kuna jogoo kubwa inayobaki nunua Chakula cha 10000 akitotoa watoto wafungie getoni kwako theni muache huyo Kuku nje akitaga uza mayai ili yahudumie watoto wakikua kua ukiona huna chochote muuze huyo Kuku endelea kuwalisha vifaranga hakikisha asife hata mmoja
Tafuta meza, Nenda sehemu kama ferry-Kigamboni wanapoita watu wengi jioni kurudi majumbani, panga matunda MAZURI ya msimu utafanikiwa kuanza biashara.Msaada Jaman Nina Mtaji Wa Elf 20 Je Naweza Kufanya Biashara Gan?
Akipotea hata mmoja nihasara assume demu unaemkubali sana akakuacha nakutotaka hata salamu yako hivyo ndivyo ufanye Kwa Kuku wako jinsi ulivyokua unajitoa,kumjali Fanya hivyo katika Mali yakoUshauri mzuri ila hapo kwenye kuhakikisha asife hata mmoja ndio naomba maujanja hahaha
Mkuu iyo Elfu 20 Jilipe posho utakuwa umeingiza Elfu 20 TayariMsaada Jaman Nina Mtaji Wa Elf 20 Je Naweza Kufanya Biashara Gan?
Hapo mtaani kwenu kuna watu wanashida na hiyo hela sana. Kwahiyo waaambie unakopesha pesa kwa riba ya asilimia 30 kwa wiki. Yaani mtu akikopa 20,000 mwisho wa wiki anarejesha 26,000. Kwa mwezi utakuwa na faida ya 24,000. Ukijumlisha na mtaji jumla inakuwa 44,000.Msaada Jaman Nina Mtaji Wa Elf 20 Je Naweza Kufanya Biashara Gan?
Great idea nimeipenda hii muanzisha Uzi nauhakika alianzisha kimasihara ila umetoa great ideaHapo mtaani kwenu kuna watu wanashida na hiyo hela sana. Kwahiyo waaambie unakopesha pesa kwa riba ya asilimia 30 kwa wiki. Yaani mtu akikopa 20,000 mwisho wa wiki anarejesha 26,000. Kwa mwezi utakuwa na faida ya 24,000. Ukijumlisha na mtaji jumla inakuwa 44,000.
Mwezi wa pili ukikopesha 44,000 then mwezi unaofuata yani mwezi wa tatu mtaji na faida inakuwa ni Tsh 96,800.
Mwezi huo wa tatu ukikopesha hiyo 96,800 utapata faida ya 116,160. Ukijumlisha na mtaji itakuwa Tsh 212,960.
Mwezi wa nne ukikopesha 212,960 utapata faida ya Tsh 255,552. Ukijumlisha na mtaji inakuwa 468,512.
Endelea hivyo hivyo mwishowe unakuwa millionaire. Kila kazi/biashara ina changamoto zake. Usiziogope changamoto utakazokumbana nazo hasa za kudai madeni yako. Muhimu zitafutie mbinu za utatuzi hizo changamoto ili uweze kusonga mbele. Karibu kwa ushauri na maoni zaidi.
Naomba unipe hii idea mkuu ngoja niku pmMifuko ya karatasi unaweza kutengeneza, unanunua karatasi 50 kwa 6000, na kuanza kukata mifuko ya karatasi. Itakuwa dili kuanzia mwezi wa sita