Kwa mtaji wa elfu 20 naweza fanya biashara gani?

Msaada Jaman Nina Mtaji Wa Elf 20 Je Naweza Kufanya Biashara Gan?
Nunua Kuku mmoja hakikisha unamlinda kishenzi awe wakienyeji hakikisha mtaa wenu kuna jogoo kubwa inayobaki nunua Chakula cha 10000 akitotoa watoto wafungie getoni kwako theni muache huyo Kuku nje akitaga uza mayai ili yahudumie watoto wakikua kua ukiona huna chochote muuze huyo Kuku endelea kuwalisha vifaranga hakikisha asife hata mmoja
 
Ushauri mzuri ila hapo kwenye kuhakikisha asife hata mmoja ndio naomba maujanja hahaha
 
Akipotea hata mmoja nihasara assume demu unaemkubali sana akakuacha nakutotaka hata salamu yako hivyo ndivyo ufanye Kwa Kuku wako jinsi ulivyokua unajitoa,kumjali Fanya hivyo katika Mali yako
 
Uza fegi.
Mgambo utakimbizana nao hivyo hivyo bila kitambulisho cha RAIS.
 
mayai ya kuchemsha tray moja au mbili unaanza kutembeza au unampa mtu atembeze au unakuwa nakijiwe chako.
 
Msaada Jaman Nina Mtaji Wa Elf 20 Je Naweza Kufanya Biashara Gan?
Hapo mtaani kwenu kuna watu wanashida na hiyo hela sana. Kwahiyo waaambie unakopesha pesa kwa riba ya asilimia 30 kwa wiki. Yaani mtu akikopa 20,000 mwisho wa wiki anarejesha 26,000. Kwa mwezi utakuwa na faida ya 24,000. Ukijumlisha na mtaji jumla inakuwa 44,000.

Mwezi wa pili ukikopesha 44,000 then mwezi unaofuata yani mwezi wa tatu mtaji na faida inakuwa ni Tsh 96,800.

Mwezi huo wa tatu ukikopesha hiyo 96,800 utapata faida ya 116,160. Ukijumlisha na mtaji itakuwa Tsh 212,960.

Mwezi wa nne ukikopesha 212,960 utapata faida ya Tsh 255,552. Ukijumlisha na mtaji inakuwa 468,512.

Endelea hivyo hivyo mwishowe unakuwa millionaire. Kila kazi/biashara ina changamoto zake. Usiziogope changamoto utakazokumbana nazo hasa za kudai madeni yako. Muhimu zitafutie mbinu za utatuzi hizo changamoto ili uweze kusonga mbele. Karibu kwa ushauri na maoni zaidi.
 
Great idea nimeipenda hii muanzisha Uzi nauhakika alianzisha kimasihara ila umetoa great idea
 
Back
Top Bottom