Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie mkuu, faida ndogo ndogo ndo tunazitakaUtaweza kuvumilia kupata faida kidogo?
Nipe mie mkuuningekupa biashara, watizo watoto wa mama kuchafuka hamuez
Tafuta zako uwekeze huko !Laki 5 ni kama dola 200..
Nipe mimi hiyo hela niweke kwenye forex niwe nakupa laki 5 kila mwezi kama faida
Vijana wasikuizi wakeshindwa kabisa kuwa wabunifu wanawaza vitu vya ovyo tu siju tumerogwa nanan.[emoji1787][emoji1787]Laki 5 ni kama dola 200..
Nipe mimi hiyo hela niweke kwenye forex niwe nakupa laki 5 kila mwezi kama faida
[emoji23][emoji23] thubutu.Laki 5 ni kama dola 200..
Nipe mimi hiyo hela niweke kwenye forex niwe nakupa laki 5 kila mwezi kama faida
Hapo ukiwa na odds 3 kila siku unatengeneza faida ya 700kNdugu wadau mimi niko Daresalaam nina mtaji wa laki 5 tu..na sio mzoefu wa biashara kabisa ndugu naombeni mawazo, staki kukurupukia biashara naomba mawazo kwa uzoefu wenu ndugu wadau nifanye biashara gani?