Kwa mtaji wa laki 5 nifanye biashara gani?

Kwa mtaji wa laki 5 nifanye biashara gani?

Mmh mshaurini mwenzenu vitu positive basi wakuu sasa 500K mnataka aliwe na kanji kirahisi.

Oya broh fungua barbershop kitaa kwako wachaji 1500
Mfano 1500 kwa weekend ukawa na vichwa 15 x 1500
 
Kesho ni uefa

Man city winor draw

Psg win or draw

Buyern munich win or draw

Liverpool winor draw

Odds 1.94

Stake 500k ,

Payout 970k

Uoga wako ndio umasikini wako ,hakuna tajiri muoga ,Kila tajiri alirisk pesa na kupoteza bila kuchoka mwisho wa siku akatoboa [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Yaleyale ya juzi,eti kopa laki 3,utapata laki 6 na nusu,maana Arsenal anaenda kumuua Man U.
Waliobet kwa kufuata maneno yale,wanajua stori ilivyokua.
 
mtoa mada kma bado hujaanza na wengine ambao bado mnafikiri nilipita kwenye uzi huu kuona madini ila mengi ni masihara...
laki tano unaweza kuanza biashara ila uwe umeamua kuanza biashara kuna mengi ya kuvumilia na kujifunza unaweza ukaanza na biashara ika kimbia sana kama mimi nilivyoanza ila mbeleni ikapata upinzani sana kwa wanaoiga..ila wanafail kwenye kubuni na kuboresha kila mara inapohitajika.
sasa uza kahawa hizi chungu chukua muda kazuge kunywa au jifunze kunywa jua inavyotengenezwa nunua meza safi na majiko yako na viti vyako tafuta kuvuli kama wenzanko wafanyavyo..usiende karibu na mwenzako au mwenzako akitupia jicho tu anakuona...tafuta location yako jifunze kazi hapo ukifanikiwa kwa siku unaweza tengeneza zaidi ya 50k(niamini mimi kuna watu nawafahamu wanatengeneza zaidi 80k kwa siku zingatia mida ya kufungua na kufunga from there kuna mambo kibao ya kijifunza kichwa kikiwa kinachuja taka na madini kutoka maongezi mpaka ushauri..wengi huangikia biashara hii wakishakuwa wazee na hawana zaidi wanachoweza kufanya ndio maana unaona hawaendelei...ila amini fedha ipo mpaka watakupiga majungu..ia endelea ku play smatter..kuna jamaa pale nzega wakati huo najitafuta sehemu ilipokuwa packing ya magari makubwa zamani..alikuwa anatujaza na tv enzi hizo zimetamalaki ..kahawa tangawizi chai na mishikaki ya bei chee yaani full ulevi ikifika jioni saa mbili lazima tupite pale kama tupo nzega... ile combination ya product zake sijawahi kutana nazo miaka hii au labda kwa kuwa nimehamia kwenye gambe ila busness kwa mia 500k inawezekana sana ukiamua..
 
Back
Top Bottom