Kwa mtaji wa laki tatu nifanye biashara gani?

Kwa mtaji wa laki tatu nifanye biashara gani?

Habarini Wana JF,

Naombeni ushauri kwa mtaji wa laki TATU nipige mishe gan ambayo nitapat ata elf 5 per day.
Laki 3 upate 5k tu per day simple sana beti mechi Moja tu Kila siku ya kutoa over 0.5 full time Yani goli tu lifungwe
 
Kunywa bia huku ukiendelea kufikiria wazo maisha mafupi haya alafu catalisim mwenye degree anamsikiliza mwenye ziro
 
Back
Top Bottom