RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Sio rahisi kama mpwa wangu Kizzy Wizzy anavyosema. Kinachosumbua sana ni namna yakupata wateja.Jamaa anaongea kama tayari kila kitu kipo.. biashara inayoanza inahitaji kuwa na soko jipya- la kwake. Soko halipo tu. Lazima ulitafute