Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 249
Njoo,mwanza tukuuzie majola ya nguo kwa bei nafuu uka uze iringa kwabei ya biashara..
Ukiwa na laki tatu ni mzigo mkubwa nafaida yake sichini ya lakinne...
Mfano ukichukua ,makoti,mablanketi mazito kwa shilingi elfu nane moja bei ya jumla iringa utakwenda kuuza elfu ishirini rejareja hadi elfu kuminanane hadi ishirini na tano,nabiashara ina kwenda faster tu,milioni moja ni kubwa sana kwa biashara.