Kwa mtaji wa million 1

Kwa mtaji wa million 1

Hajulikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
273
Reaction score
249
Naombeni ushauri kwa mtaji wa mllion moja naweza kuanzisha biashara gan itakayo lipa haraka?
 
Kaka ee karibu kuwekeza kwa watu wadogo kama sisi na ukawawa unalipwa sh 100000 kila siku /kopesha nami ufaidike kaka....
 
Njoo,mwanza tukuuzie majola ya nguo kwa bei nafuu uka uze iringa kwabei ya biashara..
Ukiwa na laki tatu ni mzigo mkubwa nafaida yake sichini ya lakinne...
Mfano ukichukua ,makoti,mablanketi mazito kwa shilingi elfu nane moja bei ya jumla iringa utakwenda kuuza elfu ishirini rejareja hadi elfu kuminanane hadi ishirini na tano,nabiashara ina kwenda faster tu,milioni moja ni kubwa sana kwa biashara.
 
umekremu eeh! Iringa ile sio hii
 
Back
Top Bottom