Kama upo dsm,
1:Nunua matunda sokon temeke nenda nayo Sinza katakata weka kwenye pakeji vizuri tafuta kimvuli weka meza utauza! Vijana wa Sinza hawawez menya matunda.
2: Nunua miwa Nenda bagamoyo road tafuta stand nzuri katakata weka kwenye vifuko unauza.
3: Point nguo za watoto na wadada kali karume au ilala asubuh wakiwa wanachana mabalo, ingia nazo mtaani hasa mitaa ya kishua tembeza mlango tu mlango na vyuoni getin..
4....