Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
Mkuu avatar yako hii inakaribisha ugomvi.Wakuu! Mm Nataka kufanya biashara ya nazi,
Nazi Nataka kuzitoa Lindi, na kuuzia dsm
Mwenye informations zaid naomba anijizu, hasa kuhusu masoko ya dsm kwa upande wa nazi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaa anachoma kama mahindi, yeah ni watamu mno ukikuta anayejua kumarinate vizuri.
Me napenda sababu nyama inakua haina mafuta mengi tofauti na wale wa kukaanga
Hapo kwenye mafuta ndo panachosha, mafuta machafuuuu ila hawajali. Sasa athari wanazipata walajiAlafu ngumu kumanage ishu ya mafuta, unakuta mtu anatumia mafuta mda mrefu mpaka yanabadilika rangi yanakuwa meusiiiiii, bora wa kuchoma!
Sio mishkaki, nilikua naongelea kuku wa kuchoma/kubanikaHahah Inamaana ulikua hufaham kabisa mishkaki yanyama
Hapo ndo wajasiriamali wengi wanaposhindwa, ila kiukweli ujasiriamali unaenda pamoja na usafi na kujali afya za wateja wako hata ukipata kidogo utatengeneza jina zuri na kuaminiwa.Hapo kwenye mafuta ndo panachosha, mafuta machafuuuu ila hawajali. Sasa athari wanazipata walaji
Ni kweli kabisa, unashangaa kwa mwenzako wateja hawakauki ila kwako hawaji unaanza kuwaza labda kakuchawia kumbe mchawi ni wewe mwenyewe.Hapo ndo wajasiriamali wengi wanaposhindwa, ila kiukweli ujasiriamali unaenda pamoja na usafi na kujali afya za wateja wako hata ukipata kidogo utatengeneza jina zuri na kuaminiwa.
Mkuu avatar yako hii inakaribisha ugomvi.
Na wenyewe mkuu, kuna mtu aliicheka kidogo tu, hadi leo hajatoka chumba cha giza.Hahah ugomvi na nani?
Huu ushauri siukubaligi sijui kwaniniMazingira,
Nini kiahitajika katika mahitaji ya Kila siku ya wakazi wa Happ.
Vizuri kaka nitamuonesha au nimsomee hizi ideasafanye biashara ya nguo za mtumba za kupoint sio belo (kupunguza risk ya kupata mzigo mbaya) ilala boma na karume ndio kuzuri ilala boma nguo zinaanzia 1500, 2000 hiyo ni kwa shiffon blouse,masweta mazuri,top etc... skin jenas 3000 na 4000 na magauni mazuri ni 2000 na 3000....anapoint ananyosha anaingiza sokoni kwa bei ua elfu 6000 tu hadi 7000 atapata pesa akiifanya kaka machinga aachane na frame.....
**** biashara ya kutengeneza bahasha za kaki hii inalipa kama eneo lako halijapata huduma hii...hapo ela ni kaki zenyewe na gundi ya maji....
**** biashara ya kuku wa kienyeji kuifanya kwa kutoa vijijini na kuweka mjini, na kuwakuza alafu kipindi cha sikukuu unawauza....ila hii ni changamoto sana hasa sehem ya kufugia....
Kununua nguo za ndani za kina dada na kuzizungusha majimbani na saloon etc dozen zake zinapatikana kariakoo kwa quality mbalimbali.....
Kuchoma mishikaki na kuuza stand za mabasi ukizingatia usafi na njia bora ya uchomaji utapata hata 25000 kwa siku....
Kuna biashara ya kukaanga mihogo na kuku wa kisasa na kumkata vipande vya 500 tu viwe vingi kukuletea 12000 maana kuku wa nyama ni 6000 hadi 6500....mihogo sijajua ulipo kata midogo kiasi uza 200 kaanga vizuri, unaweza jifunza kukaanga viazi vya mayai (vnavyotumia ngano) vnauza pia.....watu mtaani wavivu kupika hizo ndio menu zao
Unaweza kuwa unafanya biashara ya kusambaza bidhaa madukani kama mikate, mayai, dagaa etc....hautatoka mtupu mkuu....
hiyo biashara ya nguo nilikuwa naingiza elfu 50000 kwa mtaji wa 250000 ila hapo 22 ni mtaji 28 ndio ya kula na mambo mengine nikaacha sababu ya ajira ila ni profitable business hasa kwa nguo za wadada
Mwenye wazo piaVizuri kaka nitamuonesha au nimsomee hizi ideas
ni mawazo yanayofanyika tena kwa urahisi na faida utayopata ni zaidi ya elfu 5 ....Vizuri kaka nitamuonesha au nimsomee hizi ideas
Hapo kwenye biashara ya bahasha za kaki, nahitaji muongozo Mkuuafanye biashara ya nguo za mtumba za kupoint sio belo (kupunguza risk ya kupata mzigo mbaya) ilala boma na karume ndio kuzuri ilala boma nguo zinaanzia 1500, 2000 hiyo ni kwa shiffon blouse,masweta mazuri,top etc... skin jenas 3000 na 4000 na magauni mazuri ni 2000 na 3000....anapoint ananyosha anaingiza sokoni kwa bei ua elfu 6000 tu hadi 7000 atapata pesa akiifanya kaka machinga aachane na frame.....
**** biashara ya kutengeneza bahasha za kaki hii inalipa kama eneo lako halijapata huduma hii...hapo ela ni kaki zenyewe na gundi ya maji....
**** biashara ya kuku wa kienyeji kuifanya kwa kutoa vijijini na kuweka mjini, na kuwakuza alafu kipindi cha sikukuu unawauza....ila hii ni changamoto sana hasa sehem ya kufugia....
Kununua nguo za ndani za kina dada na kuzizungusha majimbani na saloon etc dozen zake zinapatikana kariakoo kwa quality mbalimbali.....
Kuchoma mishikaki na kuuza stand za mabasi ukizingatia usafi na njia bora ya uchomaji utapata hata 25000 kwa siku....
Kuna biashara ya kukaanga mihogo na kuku wa kisasa na kumkata vipande vya 500 tu viwe vingi kukuletea 12000 maana kuku wa nyama ni 6000 hadi 6500....mihogo sijajua ulipo kata midogo kiasi uza 200 kaanga vizuri, unaweza jifunza kukaanga viazi vya mayai (vnavyotumia ngano) vnauza pia.....watu mtaani wavivu kupika hizo ndio menu zao
Unaweza kuwa unafanya biashara ya kusambaza bidhaa madukani kama mikate, mayai, dagaa etc....hautatoka mtupu mkuu....
hiyo biashara ya nguo nilikuwa naingiza elfu 50000 kwa mtaji wa 250000 ila hapo 22 ni mtaji 28 ndio ya kula na mambo mengine nikaacha sababu ya ajira ila ni profitable business hasa kwa nguo za wadada
Kweli brother tupeane mawazo hapaHapo kwenye biashara ya bahasha za kaki, nahitaji muongozo Mkuu
Mkuu kutokana na mifuko mipya kuwa ghali kiasi 500 kiendelea basi kuna baadhi ya sehem na maduka wanatumia makaratasi ya magazeti so wewe unaweza anza tengeneza bahasha za kaki kwa ukunwa tofauti alafu unapitisha madukani, mabuchani,maduka ya nguo, vibandani ndogo kwa bei 300 tu mkuu tena uuuze jumla.Hapo kwenye biashara ya bahasha za kaki, nahitaji muongozo Mkuu