Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
Hii imeenda hiiKilimo Cha Bangi, Kiwanda Cha Biskuti ya Bangi kwa siku ukosi Laki 3-4
Ishu ukidakwa umeisha
Nikalime bangi ?Kilimo Cha Bangi, Kiwanda Cha Biskuti ya Bangi kwa siku ukosi Laki 3-4
Ishu ukidakwa umeisha
Me wa kikeNunua pikipiki used upige boda(bolt nk)
Umemaanisha nnuza ninininoo mkuu
KanisaWakuu,
Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil?
Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
Hii biashara inafanyikaje ongeza minyama basi.Uza viatu vya kiume
Lakin hyo 1.5 ni ndogo sana inatakiwa uwe mpambanaji Sana na usiwe na chembe chembe za utoto wa kishua
Inategemea na eneo.Wakuu,
Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil?
Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
Special au mtumba?Uza viatu vya kiume
Lakin hyo 1.5 ni ndogo sana inatakiwa uwe mpambanaji Sana na usiwe na chembe chembe za utoto wa kishua
MtumbaSpecial au mtumba?
Hii unaamka asubuh na mapema unaingia karume,kuna viatu vinafunguliwa,unasort viatu vitakavyokuwa rahis kuviuza,unaweza nunua kiatu kwa 5000 na ukakiuza Kwa 10000 mpaka 15000Hii biashara inafanyikaje ongeza minyama basi.