Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia je?
Wewe ndio umeuliza swali la msingi. Maana wengi wamekimbilia kwenye mambo madogo madogo yanayoweza kurekebishika! Tabia ina sehemu kubwa sana kwenye mahusiano.
Jamani mimi sipendi kununiwa...Yaani bora ninyimwe unyumba kuliko kununiwa, tena kule kuniniwa bila sababu ya msingi. Halafu mtu anaweza kununa hata wiki nzima!
hahaaaaa lol
Masaki you have made my evening buddy!!!!
Tehetehetehe! Nasikia njaa, nakwenda kunywa supu ya samaki RG...Nothing else!!
Ahadi yeyote tu. Ila mara nyingi huwa wanakuwa watata zaidi kwenye ahadi za kumegana.
DW vipi bana, NN anaulizia kuhusu usafi. Naona wewe umeenda nje ya mada. JIbu kuhusu husafi.
Nikiludi kwenye mada, mi kwa kweli mwanaume awe msafi. Huwa naangalia kwanza viatu, mkanda na akibahatika kupata tunda cha kwanza kuangalia ni nguo ya ndani. Mwanaume akishajua kupangilia kiatu, kiwe kisafi na mkanda jua huyo lazima atakuwa msafi. Sasa katika suala la harufu, nachukia sana mwanaume akinuka mdomo, kikwapa, viatu yesu wangu!! Huyo kwangu hapati nafasi. Mimi mwenyewe huwa najitahidi sana kuwa msafi. Napenda sana usafi
lol, hii inachekesha ila ndio mafunzo.
Mimi mdomo, kwapa na chini kukiwa hakujatulia inabidi nitumie ile rule " can't hit ya twice!"
Masuala ya tabia yanakuja baadae ila kwa haraka hiyo hygiene mi ndio muhimu and mambo yasiwe kwa kubembeleza saaaana.
Mazee YE, what it do bossman? Long time no see...
High standards of personal hygiene in a woman are high up on my list of standards. That and strength of character are neck and neck and I don't compromise nor lower my standards when it comes to those two.