Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kwa nafasi yake ameweza kuwapatia watu zawadi mbalimbali, kama angepata nafasi kubwa zaidi si angetoa zawadi nyingi zaidi?Hapana sioni hivyo, kutokana na historia ya jinsi alivyoupata utajiri wake na misukosuko yake, ni wazi alikuwa mtu wa dili chafuchafu hata baadhi ya miradi kama ule wa umeme kule Zimbabwe na alivyopiga malipo ya awali bila kuanza ku implement mradi, basi na conclude angekuwa Rais wa hovyo kuliko hata hawa waliopo
NB: Ndugu wa marehemu wanisamehe kwa kumsema marehemu vibaya
Nahisi alikuwa anatoa zawadi hizo kwa madhumuni maalumu ya kutafuta umaarufu ili siku zijazo apate nafasi fulani na kuzirudisha nahisi hiyo ilikuwa ndo target yake hakuna mfanyabiashara mjinga, alikuwa ana set mambo yake ili aje apige parefu ila ndo hivyo maisha hayana guarantee mda wowote unapoteza uhai na mambo yako yote yanavurugikaKwa nafasi yake ameweza kuwapatia watu zawadi mbalimbali, kama angepata nafasi kubwa zaidi si angetoa zawadi nyingi zaidi?
Kwa nini ashindwe?Sio rahisi kama angefanya hivo!
Bin adamu.. ni kigeugeu sana mkuu, akiona amepata mafanikio anaanza kujiona kimungu mtu na kuwa na kiburi... ni wachache sana wanaoweza kuwa na moyo uleule!Kwa nini ashindwe?
Kwani amefariki kweli?!Hapana sioni hivyo, kutokana na historia ya jinsi alivyoupata utajiri wake na misukosuko yake, ni wazi alikuwa mtu wa dili chafuchafu hata baadhi ya miradi kama ule wa umeme kule Zimbabwe na alivyopiga malipo ya awali bila kuanza ku implement mradi, basi na conclude angekuwa Rais wa hovyo kuliko hata hawa waliopo
NB: Ndugu wa marehemu wanisamehe kwa kumsema marehemu vibaya