#COVID19 Kwa mtazamo wangu Covid-19 haipo Tanzania, tusitishane

Mimi binafsi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Tanzania tuna corona.

Nchi hii bwana watu wanaotutangazia kwamba tuchukue taadhari ndio hao hao unawakuta baa wanakunya pombe na kukumbatia mpaka wahudumu.

Unawakuta anayetutangazia corona yeye ndiye wa kwanza kwenda msikitini au kanisani kubanana wakati wa kusali.

Leo unasema Dar kuna corona wakati pantoni ya kwenda kigamboni inapakia watu mpaka elf 1000 kwa mkupuo na watu unakuta wameshonana kwenye jengo la abilia ni full kutoka jasho.

Unakuta mtu tena very smart eti yupo kwenye mwendokasi amevaa barakoa huku kasimama anasweti tu yaani kabanwa mpaka sehemu ya kupumulia hana halafu kapiga barakoa yake nayo inatoa tu jasho.

Mimi kanisani ninakosali tunabanana balaa muda wa kutoa sadaka tunagusana balaa na muda kuondoka tunabanana kwenye usafiri kwa kupeana lifiti.

Kiufupi wanaotangaza uwepo wa corona Mimi nawashangaa sana kwanini hawaji na taratibu za mapambano ya dhati?

Hivi unapambana na corona kwa style ya kariakoo ile ? Na daladala za mbagala ?

Serikali waache siasa labda kama corona ya wanayoisema inawahusu wao viongozi sawa huku mtaani Mimi sioni corona tena baada ya Kifo cha Magufuli.
ujazuiwa kuamini ivyo
 
Ndio maana sisi wengine tunawadharau sana nyie bavicha!

Yani hamjielewi mnasimamia wapi!

Kama sasa hivi hamjulikani mnaunga mkono ccm au mnapinga yani mpo mpo tu!
Hayo na Corona wapi na wapi ?! . Lumumba akili ndogo sana
 
Huwezi kuona uhusiano wake!?

Magufuli alisema jamani ishini bila hofu corona hakuna, bavicha makaja na matusi! Leo tena bavicha wale wale mnaanza kugeukana Samia anaposema corona ipo?
 
CORONA ipo na INAUA.

Luckily, CORONA haina nguvu ya kuua kila mtu. Watu walio kwenye hatari kubwa ya kufa kwa CORONA ni wale wenye KINGA HAFIFU hasa kutokana na UZEE au MAGONJWA MENGINE ya KUDUMU kama MATATIZO ya MOYO, UZEE, KISUKARI, UKIMWI, ATHMA, CANCER.

Tatizo la lililoikumba nchi yetu ni kukoswa mwongozo tangu mwanzo. Wataalamu wote wa Afya wakawekwa pembeni, taarifa na maelekezo yakaanza kutolewa na kila kibwengo anayejua kuongea, kusoma na kuandika.

Wazee wanakufa sana. Vijana tuko salama kwa sasa, labda kama kirusi kitakuja kuwa hatari zaidi mbeleni.
 
Watanzania aina ya MATAGA bado wana changamoto kubwa sana ya kufikiri. MATAGA mnataka wafe wangapi ndio mkubali kuwa kuna korona? Ni heri uamnini Mungu yupo ufike ukute hayupo kuliko kuamini hayupo uende umkute! Kwani ukivaa barakoa unapungukiwa nini? sasa acha kuvaa barakoa ukavae oksijeni
 
Huwezi kuona uhusiano wake!?

Magufuli alisema jamani ishini bila hofu corona hakuna, bavicha makaja na matusi! Leo tena bavicha wale wale mnaanza kugeukana Samia anaposema corona ipo?
Corona ipo na inakula vichwa ipendavyo. Hata Jana saa 7 mchana, mtaani kwetu tulimzika mwenzetu kisa covid 19
 
Mleta mada acha ujinga na upuuzi wa kiwango hicho na usipotoshe jamii. Corona ipo na inaua kweli. Nenda Hosp zote za mikoa mfano amana, mwananyamala, Temeke, Burhani, hindumandal, agha khan upate taarifa za ugonjwa na hali ilivyo.

Nenda mikoa ya pembezoni uende ktk hosp za Mikoa ndio utajua kuwa wewe ni nanga kiasi gani.
 
Ndio maana sisi wengine tunawadharau sana nyie bavicha!

Yani hamjielewi mnasimamia wapi!

Kama sasa hivi hamjulikani mnaunga mkono ccm au mnapinga yani mpo mpo tu!
Hukuwahi kuugua uendawazimu kweli wewe? Hata ulichoandika hakieleweki!

Mtu akiniambia nina akili duni kama za mataga napigana siku nzima.
 
Back
Top Bottom