#COVID19 Kwa mtazamo wangu Covid-19 haipo Tanzania, tusitishane

ujazuiwa kuamini ivyo
 
Ndio maana sisi wengine tunawadharau sana nyie bavicha!

Yani hamjielewi mnasimamia wapi!

Kama sasa hivi hamjulikani mnaunga mkono ccm au mnapinga yani mpo mpo tu!
Hayo na Corona wapi na wapi ?! . Lumumba akili ndogo sana
 
Hayo na Corona wapi na wapi ?! . Lumumba akili ndogo sana
Huwezi kuona uhusiano wake!?

Magufuli alisema jamani ishini bila hofu corona hakuna, bavicha makaja na matusi! Leo tena bavicha wale wale mnaanza kugeukana Samia anaposema corona ipo?
 
CORONA ipo na INAUA.

Luckily, CORONA haina nguvu ya kuua kila mtu. Watu walio kwenye hatari kubwa ya kufa kwa CORONA ni wale wenye KINGA HAFIFU hasa kutokana na UZEE au MAGONJWA MENGINE ya KUDUMU kama MATATIZO ya MOYO, UZEE, KISUKARI, UKIMWI, ATHMA, CANCER.

Tatizo la lililoikumba nchi yetu ni kukoswa mwongozo tangu mwanzo. Wataalamu wote wa Afya wakawekwa pembeni, taarifa na maelekezo yakaanza kutolewa na kila kibwengo anayejua kuongea, kusoma na kuandika.

Wazee wanakufa sana. Vijana tuko salama kwa sasa, labda kama kirusi kitakuja kuwa hatari zaidi mbeleni.
 
Watanzania aina ya MATAGA bado wana changamoto kubwa sana ya kufikiri. MATAGA mnataka wafe wangapi ndio mkubali kuwa kuna korona? Ni heri uamnini Mungu yupo ufike ukute hayupo kuliko kuamini hayupo uende umkute! Kwani ukivaa barakoa unapungukiwa nini? sasa acha kuvaa barakoa ukavae oksijeni
 
Huwezi kuona uhusiano wake!?

Magufuli alisema jamani ishini bila hofu corona hakuna, bavicha makaja na matusi! Leo tena bavicha wale wale mnaanza kugeukana Samia anaposema corona ipo?
Corona ipo na inakula vichwa ipendavyo. Hata Jana saa 7 mchana, mtaani kwetu tulimzika mwenzetu kisa covid 19
 
Mleta mada acha ujinga na upuuzi wa kiwango hicho na usipotoshe jamii. Corona ipo na inaua kweli. Nenda Hosp zote za mikoa mfano amana, mwananyamala, Temeke, Burhani, hindumandal, agha khan upate taarifa za ugonjwa na hali ilivyo.

Nenda mikoa ya pembezoni uende ktk hosp za Mikoa ndio utajua kuwa wewe ni nanga kiasi gani.
 
Ndio maana sisi wengine tunawadharau sana nyie bavicha!

Yani hamjielewi mnasimamia wapi!

Kama sasa hivi hamjulikani mnaunga mkono ccm au mnapinga yani mpo mpo tu!
Hukuwahi kuugua uendawazimu kweli wewe? Hata ulichoandika hakieleweki!

Mtu akiniambia nina akili duni kama za mataga napigana siku nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…