K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jul 31, 2024 #101 Blaa blaa kama za mwendo kasi zikiwepo ni kifo cha mende.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Jul 31, 2024 #102 Daah mimi naomba isife maana watoto wetu hawatakuta dhahabu wala almasi ila wataweza kulipia treni ikiwa chini ya Mkoloni kuwapeleka mjini kwa gharama kubwa...
Daah mimi naomba isife maana watoto wetu hawatakuta dhahabu wala almasi ila wataweza kulipia treni ikiwa chini ya Mkoloni kuwapeleka mjini kwa gharama kubwa...