britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nimemskiliza Mama Samia Suluhu Hassan akisema utekaji wa siku akiwa madarakani ni drama
Zipo Drama Kweli ndani ya matukio ya kutekwa Ila si kila tukio ni la kupuuza,
Tuna matukio mengi sana ya utekaji nchini ila mheshimiwa Rais ameyazungumzia kana kwamba ni simple na kuya neutralize kwa Hoja za watu wanne waliojiteka kwa kutaka familia zao zilipe, Hiyo tunaikemea pia ,
Ila sasa angeangazia hata yale matukio makubwa
1. Inadaiwa Adnan katekwa na Polisi wa Oysterbay kwa order ya tycoon mmoja na baadae akauwawa na wakatumia mbinu hizo hizo kuanza kuomba Pesa kwa familia wakati wakijua ashafariki, na baada ya kufariki ikawa ndo polis wamejitokeza na kumpa kesi kwamba ni mtekaji anatafutwa,
2. Inadaiwa kuna vijana wengi hasa walioshiriki maandamano ya machinga kariakoo wamepotea na wengine wamepatikana wakiwa wameumizwa sana, nakumbuka Mwaka fulan Jamaa wa CCM aliwahi nipa mbinu walivyomteka msaidizi wa Membe na wakampandisha kwenye helicopter!
inadaiwa juzi kuna kijana amepatikana Katavi akiwa hoi kisa utekaji, Kuna Yule Dogo wa tanga wa CHADEMA naye katekwa na Polis baada ya nguvu ya Umma kuhoji alipo ndo baada ya siku 29 Polisi wanajitokeza kusema kuwa wako nao
Niliwahi sema kipindi cha Magufuli kwa kudadisi kwa uzi huu ili kuona uelewa wa watanzania juu ya matukio ya Utekaji , Naona Mheshimiwa Rais kapita nao Uzi huu kwenye hotuba yake 👇🏾
- Je, wanatekwa kweli au wanajiteka? Wana nia gani na hili? Labda ni drama. Tuone!
- Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi
Tukomeshe utekaji nchini!
Britanicca