Nimemskiliza Mama Samia Suluhu Hassan akisema utekaji wa siku akiwa madarakani ni drama !
Zipo Drama Kweli ndani ya matukio ya kutekwa Ila si kila tukio ni la kupuuza,
Tuna matukio mengi sana ya utekaji nchini ila mheshimiwa Rais ameyazungumzia kana kwamba ni simple na kuya neutralize kwa Hoja za watu wanne waliojiteka kwa kutaka familia zao zilipe, Hiyo tunaikemea pia ,
Ila sasa angeangazia hata yale matukio makubwa
1. Adnan katekwa na Polisi wa Oysterbay kwa order ya tycoon mmoja na baadae akauwawa na wakatumia mbinu hizo hizo kuanza kuomba Pesa kwa familia wakati wakijua ashafariki, na baada ya kufariki ikawa ndo polis wamejitokeza na kumpa kesi kwamba ni mtekaji anatafutwa,
2. Kuna vijana wengi hasa walioshiriki maandamano ya machinga kariakoo wamepotea na wengine wamepatikana wakiwa wameumizwa sana, nakumbuka Mwaka fulan Jamaa wa CCM aliwahi nipa mbinu walivyomteka msaidizi wa Membe na wakampandisha kwenye helicopter!
Juzi kuna kijana amepatikana katavi akiwa hoi kisa utekaji, Kuna Yule Dogo wa tanga wa CHADEMA naye katekwa na Polis baada ya nguvu ya Umma kuhoji alipo ndo baada ya siku 29 Polisi wanajitokeza kusema kuwa wako nao
Niliwahi sema kipindi cha katto (Magufuli) kwa kudadisi kwa uzi huu ili kuona uelewa wa watanzania juu ya matukio ya Utekaji , Naona Mheshimiwa Rais kapita nao Uzi huu kwenye hotuba yake 👇🏾
Utekaji unaweza fanyika katika nyanja mbili, Moja igizo { Drama } au utekaji halisi Tanzania tumeshindwa Kutofautisha tukio halisi naa Igizo { Drama } hatujui kabisa maana ya Utekaji { Kidnaping } na je wengi tunajua Lengo La mtekaji halisi ua ni Nini? Nimepitia comments nyingi za mitandao...
Britanicca is back. Mwamba ana swagger za ajabu. Anaweza kupotea jamvin hadi ukashangaa jamaa kaenda wapi? Halafu anaibuka tena kama wiki mbili mfululizo halafu anapotea.
Hili mbona lilionekana tangu siku huyo bibi tozo katawazwa kukaa pale juu.
Moja wapo ya kitu ambacho watetezi wake(machawa na walamba asali) wamekuwa wakiisifu hii awamu ya sasa ni kutokuwepo kwa wasiojulikana na kutoweka kwa matukio ya utekaji.
Binafsi huwa nnawaona kama wajinga wasiokuwa na akili hata kidogo.
Wasichokijua ni kwamba siku zote serikali dhaifu huwa inatoa mwanya wa kufanyika kwa matukio mengi ya uharifu kirahisi sana yakiwemo hayo ya utekaji.
Awamu hii inawezekana wengi wanaotekwa sio wanasiasa au watu maarufu na ndio maana hatusikii sana matukio hayo kwenye vyombo vya habari, ila wanaotekwa ni wengi sana na hata wasiojulikana ni wengi sana awamu hii, na ni kwasababu ya udhaifu/uzembe uliopo kwenye suala zima la ulinzi.
Halafu atambue ni mwepesi sana....Jinsia inamkamata,kwa utamaduni wa Kitanzania...Hana wa kumfia siku Umma ukichoka na kugota....Atatakiwa apishe tu na atii hisia za Nguvu ya Umma.
KAMA UMEPIGA PUNYETO KWA MDA MREFU NA UNAPITIA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME
Tafuta
1.Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja,
2.Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande],
3.Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake],
3.Unga wa msamitu vijiko nane,
4.Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane,
5.Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.
Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat soda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.
Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa ....baada ya hapo itakuwa tayari kwa matumizi
Hayo yanawezekana kwenye ulimwengu wa kimafia aliouumba bwana mmoja anaitwa mario puzzo kwenye kazi yake njema ya The godfather. Picha linaanzia longbeach Newyork na kuishia huko los angeles carlifornia.
You can say that again.
Haya ndiyo mambo ambayo tunagombana na domestic servants kila siku,
"Mambo ya drama uliyoyatazama kwenye TV usiyalete hapa!"
Leo hii rais anakwenda kusema maisha ni drama!
Nimemskiliza Mama Samia Suluhu Hassan akisema utekaji wa siku akiwa madarakani ni drama
Zipo Drama Kweli ndani ya matukio ya kutekwa Ila si kila tukio ni la kupuuza,
Tuna matukio mengi sana ya utekaji nchini ila mheshimiwa Rais ameyazungumzia kana kwamba ni simple na kuya neutralize kwa Hoja za watu wanne waliojiteka kwa kutaka familia zao zilipe, Hiyo tunaikemea pia ,
Ila sasa angeangazia hata yale matukio makubwa
1. Inadaiwa Adnan katekwa na Polisi wa Oysterbay kwa order ya tycoon mmoja na baadae akauwawa na wakatumia mbinu hizo hizo kuanza kuomba Pesa kwa familia wakati wakijua ashafariki, na baada ya kufariki ikawa ndo polis wamejitokeza na kumpa kesi kwamba ni mtekaji anatafutwa,
2. Inadaiwa kuna vijana wengi hasa walioshiriki maandamano ya machinga kariakoo wamepotea na wengine wamepatikana wakiwa wameumizwa sana, nakumbuka Mwaka fulan Jamaa wa CCM aliwahi nipa mbinu walivyomteka msaidizi wa Membe na wakampandisha kwenye helicopter!
inadaiwa juzi kuna kijana amepatikana Katavi akiwa hoi kisa utekaji, Kuna Yule Dogo wa tanga wa CHADEMA naye katekwa na Polis baada ya nguvu ya Umma kuhoji alipo ndo baada ya siku 29 Polisi wanajitokeza kusema kuwa wako nao
Niliwahi sema kipindi cha Magufuli kwa kudadisi kwa uzi huu ili kuona uelewa wa watanzania juu ya matukio ya Utekaji , Naona Mheshimiwa Rais kapita nao Uzi huu kwenye hotuba yake 👇🏾
Ukichukua mifano ya IGP na Mama la mama utaona kabisa kuna maelekezo walipeana any way tuseme hiyo mifano miwili mitatu waliyoweka kwanini wasiweke hata mfano mmoja wa waliotekwa kweli kwanini waamini waliojiteka nisahihi lakini waliotekwa niuongo wawajumlishe kwa wale? Ile 35m yule aliyelipiwa na matibabu ilikua ya nini? Still Ujinga unaendelea kua mtaji na hii nchi hakuna wanahabari huru wanapokutana na hawa watu hawaulizi maswali ya kueleweka kila mtu amechagua kusifia tu ila anyway Maputo ni mju kuu mana ukandamizaji unapozidi itafika wakati watu kujihami ndio hapo itapokua UBAYA UBWELA 😄😄😄
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.