Kwa mtazamo wangu naona utekaji si drama

Britanicca is back. Mwamba ana swagger za ajabu. Anaweza kupotea jamvin hadi ukashangaa jamaa kaenda wapi? Halafu anaibuka tena kama wiki mbili mfululizo halafu anapotea.
 
Akitekwa mtu asubuhi jioni anatekwa polisi au mtoto wa polisi kota.
 
Hili mbona lilionekana tangu siku huyo bibi tozo katawazwa kukaa pale juu.

Moja wapo ya kitu ambacho watetezi wake(machawa na walamba asali) wamekuwa wakiisifu hii awamu ya sasa ni kutokuwepo kwa wasiojulikana na kutoweka kwa matukio ya utekaji.

Binafsi huwa nnawaona kama wajinga wasiokuwa na akili hata kidogo.

Wasichokijua ni kwamba siku zote serikali dhaifu huwa inatoa mwanya wa kufanyika kwa matukio mengi ya uharifu kirahisi sana yakiwemo hayo ya utekaji.

Awamu hii inawezekana wengi wanaotekwa sio wanasiasa au watu maarufu na ndio maana hatusikii sana matukio hayo kwenye vyombo vya habari, ila wanaotekwa ni wengi sana na hata wasiojulikana ni wengi sana awamu hii, na ni kwasababu ya udhaifu/uzembe uliopo kwenye suala zima la ulinzi.
 
Kwahiyo alitoa pesa za umma Kwa matibabu ya Sativa ambayo ilikuwa " Drama"πŸ€”?
 
Bila hawa waTanzania kubadilika na kuanza kupiganiwa taifa lao, viongozi wataendelea kutuchezea
Tena ningekuwa mimi ndio kiongizi wenu ningewachezea akili zaidi hata ya Samia anavyowachezea.
 
Aendelee na dharau zake kwa wananchi, yatamkuta ya Marie Antoinette na dharau zake kwa peasants wa ufaransa.
Halafu atambue ni mwepesi sana....Jinsia inamkamata,kwa utamaduni wa Kitanzania...Hana wa kumfia siku Umma ukichoka na kugota....Atatakiwa apishe tu na atii hisia za Nguvu ya Umma.
 
Si ungefungua tu uzi wako...mbona unachanganya mada
 
Siku ndugu wa watekwaji wakiamua kulipa kisasi kwa kuziteka familia za watekaji ndio heshima itarudi mengine ni porojo.
Hayo yanawezekana kwenye ulimwengu wa kimafia aliouumba bwana mmoja anaitwa mario puzzo kwenye kazi yake njema ya The godfather. Picha linaanzia longbeach Newyork na kuishia huko los angeles carlifornia.
 
Ukichukua mifano ya IGP na Mama la mama utaona kabisa kuna maelekezo walipeana any way tuseme hiyo mifano miwili mitatu waliyoweka kwanini wasiweke hata mfano mmoja wa waliotekwa kweli kwanini waamini waliojiteka nisahihi lakini waliotekwa niuongo wawajumlishe kwa wale? Ile 35m yule aliyelipiwa na matibabu ilikua ya nini? Still Ujinga unaendelea kua mtaji na hii nchi hakuna wanahabari huru wanapokutana na hawa watu hawaulizi maswali ya kueleweka kila mtu amechagua kusifia tu ila anyway Maputo ni mju kuu mana ukandamizaji unapozidi itafika wakati watu kujihami ndio hapo itapokua UBAYA UBWELA πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…