habari wana jf, ni ukweli usipingika kwamba elimu ya tanzania inazid kushuka thaman hii iantokana na sitofahamu ya kuchanganya elimu na siasa. wanasiasa wamekua wakifanya maamuzi ya kisiasa kwa sababu ya kujitengenezea umaarufu. mfano kwa mwaka huu graduate wa form six mwenye four anauwezo wa kuappy chuo kikuu kusomea degree. tusipoangalia tutakua na taifa la mambumbumbu.

Dah! Palm ja na yote mnayojiuliza ila mimi new mejiuliza sana juu ya hili na jibu sina. Mwaka huu wenye div 1 na 2 wamekosa vyuo sehemu mbali mbali sababu kubwa ni ushindani. Sijaelewa hasa kinachrahisisha elimu ya Tanzania hadi viwango vikubwa kama hivyo kukosa nafasi. Elimu yetu inashuka kama shilinhi inavyoshuka.
Kwa Huo Mfano..Inashuka au Inapanda???Nawe Akili Yako Inaonekana Inashuka.
Habari wana JF, ni ukweli usiopingika kwamba elimu ya Tanzania inazidi kushuka thamani hii inatokana na sitofahamu ya kuchanganya elimu na siasa. wanasiasa wamekua wakifanya maamuzi ya kisiasa kwa sababu ya kujitengenezea umaarufu. Mfano kwa mwaka huu graduate wa form six mwenye four anauwezo wa kuappy chuo kikuu kusomea degree. tusipoangalia tutakua na taifa la mambumbumbu.
Kweli na wewe akili yako imeshuka. Kusoma degree hawataki div . Wanataka two principal pass tu. So kuna watu wanasoma kwa lengo la kupata hizo principal pass basii. So elimu inapanda sana tanzania. Amini.
Kinachoangaliwa ni principal 2 sio division
Hata zamani wangeweza kuingia.chuo kikuu ila nafasi hazikwepo kwa ajili ya uhaba wa vyuo.
neno 'so' katika sentensi ya kiswahili lina maana gani?
hiyo principal ya sasa inalingana na ile?