Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Labda anafanya risechi kuona watu mnaoifahamu status yake mnamchukuliaje? Sasa kama akigundua kuwa umemkataa kwa sababu ya hali yake atahuzunika sana na anaweza kuusambaza makusudi (kama bado hajaanza)... Pole kwa maswaibu
 

Ungepata nafasi ya kuzungumza naye angekwambia jinsi navyomsaidia na kumuheshimu na wala sitaweza kumwambia maneno kama hayo.

Anyway ni maoni yako asante
 
Hapa kaileta hiii thread kisa kaotongozwa na mtu mwenye HIV wala sio kisa jamaa anajua kua ana mume! Kwani toka ameolewa leo ndo mara ya kwanza kuotongozwa na mtu ambaye anajua kua kaolewa? mboana hajaleta ishu kama hizo hapa? hapa ni unyanya paa tu umejaa, ni wapi ameambiwa kua wenye HIV hawaitaji kupenda au kupendwa! ishu nyingine bana yaani hata mantiki siioni hapa!
 

Kunyamaza ni kitu cha msingi sana. Kama huoni mantiki unachangia nini sasa si ukae kimya watu wengine bana
 
Ha ha ha kunyimwa lazima bana si unajua shem wako tena alivyo mkoloni na anatimiza wajibu wake kisawasawa

Habari yake binafsi bana shem,

Sorry, off topic; hivi wakoloni tu ndo wenye uwezo wa kutimiza wajibu wao kikamilifu eenh!?
 
Heri yako wewe ujuaye HIV status ya huyo jamaa...Nawaonea imani hao wasiojua chochote...ni neema ya Mungu tu itawaokoa.


Yaani hii ndio inahuzunisha zaidi........ na sidhani kama yuko muwazi kiasi cha kuweka status yake hadharani wakati anatongoza. Mungu atusaidie.
 
Yaani hii ndio inahuzunisha zaidi........ na sidhani kama yuko muwazi kiasi cha kuweka status yake hadharani wakati anatongoza. Mungu atusaidie.
Mbona mnamsemea hayo maneno kua haweki status yake hadharini? yaani ki uhalisia kabisa jamaa anaonekana yupo opened ndo maana kamtoke mtu ambaye anajua kabisa hali yake ilivyo! kama ingekua mtu mwingine asingeweza, angeenda kwa hao ambao hawamjui.!
 
Lazima uambiwe ili siku nyingine usilete upupu. We leo ndo mara ya kwanza kutongozwa na mtu anayejua kua umeolewa?

Tuheshimiane tafadhali kama huna cha kuandika nyamaza
 
Yaani hii ndio inahuzunisha zaidi........ na sidhani kama yuko muwazi kiasi cha kuweka status yake hadharani wakati anatongoza. Mungu atusaidie.

Hilo ndo la msingi na la maana sana kulitenda
 
Kwel hili ni tatizo kubwa kwan vtendo vya usambazaji ukimwi kwan wanatembea na waschna wadogo ambao wanajua fika kuw watatembea na marika yao ambpo mwisho wake ni kuteketeza jamii yote,hvyo kwa kwel tuwe makin cna lasivyo hamna atakaebaki!
 
Lazima uambiwe ili siku nyingine usilete upupu. We leo ndo mara ya kwanza kutongozwa na mtu anayejua kua umeolewa?

sure..hata mimi sijapenda kabisa...tena DA akiri kuwa amemnyanyapaa jamaa.....umemuuliza vizur wtf angetongozwa na mtu anaemfahamu na pengine haijui status yake?cha msingi angemkalisha chini na amueleze tu ukweli ikibidi amkanye..waweza kuta upendo wake kwako ulizid hat aunaompa mumeo...vile vile kumhurumia sana/kumhudumia sana kisa ana HIV pia ni unyanyapaa...muone mtu wa kawaida na maisha yaendelee...suala la kupata ukimwaau kutopata ni zaid y akutumia kondom au uaminifu kwenye ndoa...umeniudhi
 
Nzuri kabisa.

Hiyo off topic itajibiwa kwa PM

Poa shem.

Huyo jamaa alikuwa anakupimia, si unajua siku zote tunafanya trials.

Ingawa kuna watu naona hawataki kuelewa concern yako. Lakini ndo watanzania hawa wavumilie tutafika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…