Kwa Mtizamo wangu Simba SC katika Mechi ya marudiano na Orlando Pirates FC Johannesburg ikiingia na Mikakati hii inafuzu Kibabe Nusu Fainali CAFCC

Kakate rufaa kama hujaridhika
 
Hivi mgawanyo wa hizo nafasi kwa TFF umekaaje??Bingwa wa Ligi na Nani mwingine watashiriki kwa pamoja klabu Bingwa Afrika na Nani na Nani wataenda Shirikishoo??
Bingwa wa ligi na mshindi wa pili watacheza club bingwa ,alafu mshindi wa tatu na nne shirikisho .
Pia itategemea nan atabeba fa ,Kama Kuna timu nje ya Simba na yanga itabeba fa huyo anayo nafas ya kushiriki shirikisho
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.
Hakuna kiwanja chochote Duniani ambacho VAR ipo uwanjani, ile unayoiona ni tv inaonesha review tu.

Ila analysis na var yenye inafanyika Uingereza tu kwa dunia nzima... Yaani pale london

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kiwanja chochote Duniani ambacho VAR ipo uwanjani, ile unayoiona ni tv inaonesha review tu.

Ila analysis na var yenye inafanyika Uingereza tu kwa dunia nzima... Yaani pale london

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] alitaka akainuse ili ajue ina harufu gani.
 
Nauliza Ile VAR ya mechi ilikua ya CAF au CUF maana hatukuona tukio likilejewa ila yalikua mazungumzo baina ya refa sijui na mshika kibendera au kami saa.
Au ndio VAR za Afrika zinavyo fanya kazi.
Kweli Afrika michongo haitakwisha.
Wewe ni Juha ( Zuzu ) usitupotezee muda.
 
Kinachoniuma kwenye mpira wa Bongo, kila shabiki anaamini yeye ni bonge la kocha.
Hivi kumbe kuwa Mchambuzi wa Mpira ni mpaka uwe Kocha? Siku zingine mkishajijua ni Wapumbavu msiwe mnakuja Kutudhihirishia hapa Jamiiforums sawa?
 
Si tumekubaliana kila mtu anashinda kwake?

Piganeni Morrison acheze kwa kifupi jana Simba wachezaji wote akili zao zilikwama, isipokuwa Morrison. Jamaa anajua kutafuta magoli, ila hao wengine walikuwa wanakimbia kimbia.

Kule South mnakazi si ya kitoto,kama mna uwezo mnabidi mle pindi la kupaki basi kutoka kwa El Cholo alivyo wabana Man City wasimpige goli nyingi.
 
Unakumbuka simba ilipokwenda kurudiana na berkane? Uyo kocha wenu mnaesema alikuwa anafundisha madrid unakumbuka mfumo aliotumia kule? Kiufupi amna kocha pale ni kanjanja fulani hivi mmeajiri, kocha gani hana mbinu za kucheza ugenini? Na kwa mkapa anasaidiwa tu mpira kuchezwa nje ya uwanja lakini kimbinu uyu kocha ni mweupe peee, alafu unasema simba inaweza toboa kule south kwa forward gani mliyonayo ya kwenda kusumbua kule? Na mkirogwa kulinda icho kigoli kimoja mtapelekewa moto ambao amtokaa msahau maishani mwenu, kosa mshalifanya ndo maana mechi Kama izi za mtoano unatakiwa upige goli nyingi kwako ili kupunguza mlima unaokwenda kukutana nao ugenini tena mbele ya timu bora kama orlando ambao jana awakuonyesha sura yao halisi wanapokuwa wanalitaka jambo lao sasa mkae kwa kutulia tuone uwezo wa kocha wenu mhispania
 
Kwahyo jana Orlando hawakutaka kushinda?
 
Kwahyo jana Orlando hawakutaka kushinda?
Game plan ya kucheza mechi za away unaijua wewe? Orlando aliingia kwa kuwaeshimu simba na kitu ambacho awakutaka kukiruusu ni kufungwa zaidi ya goli moja ama wapate sare, siku zote mechi za ugenini uwa ni ngumu kwenye hatua Kama hii, kwaiyo kinachofanyika ni kocha kuwa na mbinu na hesabu kali ili afuzu hatua inayofata kwaiyo orlando uliyoiona jana itakuwa tofauti na orlando utakayoiona kwenye mechi ya marudiano
 
Ikiwa mechi za ugenini ni ngumu,kwanini ulitaka simba ifunge magoli mengi?
 
Ukienda kuzuia itakuwa balaa. Wala washambuliwe kama vile walishinda walivyokuja nyumbani. Washambuliwe washambuliwe. Magoli ya ugenini yatafutwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…