nyonga nyonga
Member
- Oct 2, 2013
- 27
- 4
Habari wana JF!
Naombeni ushauri wenu.
Kwa mtu aliesoma Bachelor Degree in Computing, ni course ipi ya Master inaweza kua bora zaidi kwake na ikaendana vizuri na degree yake ya kwanza.
Asante.
Mkuu samahani computing unamaanisha mahesabu au computer science, or engneering
computing ina inlude vyote ulivyo taja ikiweno na software eng n.kMkuu samahani computing unamaanisha mahesabu au computer science, or engneering
computing ina inlude vyote ulivyo taja ikiweno na software eng n.k
Computing ina include vyote hivyo ulivyo vitaja, ikiwemo software eng N.k
Then masters unaweza specialize kwenye vitu vifuatavyo
1. Software engneering
2. Networking
3 web technologies
4 sytem analysis and design
5 database administration