Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina elimu ya electrical na electronics ngazi ya chuo,nimejikita katika kubuni na kuunda vitu mbali mbali vya umeme na electronics,Nina expereience ya zaidi ya miaka 10 katika industry ya umeme na electronics,nina projects nyingi ambazo nimedesign na kuziunda na nyingine ambazo bado sijaziunda nipo vizuri katika mifumo ya power system,audio system,na Digital system
Natamani nipate kampuni ambayo itafaidika na kipaji changu cha ubunifu na uundaji wa vifaa vya electronics na vifaa vingine vya umeme.
Nimekuwa nikiunda vitu mbalimbali kwa uchache kutokana na mtaji mdogo,natamani nipate kampuni ambayo tutafanikiwa kufanya mass production ya kile nacho kidesign.
Pia nina uzoefu wa kufanya kazi katika mitambo mbalimbali ya umeme na ya kielectronics na kuilekebisha pale ikipata tatizo.
Kwa kampuni au mtu binafsi ambaye anapendelea kuwasiliana na mimi ani-PM nimtumie namba ya simu.
Asante.