Ngosha Mashine
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 665
- 1,360
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa
Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi
Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii
Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi
Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasa