jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Ukweli unaouma.Yaani South Africa wamutoe Egypt kaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli unaouma.Yaani South Africa wamutoe Egypt kaka?
Chile katekenywa na watoto janaMpira ungekuwa rahisi hivyo basi Barcelona angechukua ubingwa uefa,au Chile Jana angetoboa fainali Copa America.
NB nakuhakikishia ukipata hayo matokeo unayowaza njoo fufua hiii comment yangu.kila la kheri mkuu.
Haki ya Mungu natembea na Mama yangu mzazi kutoka Dar mpaka Mwanza kwa miguu [emoji3][emoji3]Utatembea na nani mzee ?
Dah , tubu hii dhambi mkuu
Peru sio watoto mkuu ila South Africa kwa Egypt ni underdog wa kiwango cha lamiChile katekenywa na watoto jana
Kesho na kesho kutwa mkuuGame za lini hizi?ngoja niweke 50
HHahaha [emoji28][emoji28][emoji28]Haki ya Mungu natembea na Mama yangu mzazi kutoka Dar mpaka Mwanza kwa miguu [emoji3][emoji3]
Ulitegemea Madagascar kuingia 16 Bora Tena akiongoza kundi mbele ya Nigeria!!?tuanzie hapo mkuuPeru sio watoto mkuu ila South Africa kwa Egypt ni underdog wa kiwango cha lami
Weka tu Odds mkuu.Hilo nalo neno, ila Egypt na Algeria lazima kaka tena mapema sana hao waarabu ni shida
Hapo kwenye Mali, Cameroon na Madagascar ndo kuna mtiti ila Kwa waarabu ukimtoa Tunisia wale wengine ni uhakikaWeka tu Odds mkuu.View attachment 1147161
Yap yap!Wazee wa mikeka
Rais wa CAF ni Mmadagascar makamo rais Mnaija lakini pia mke wa kocha wa Naija nae ni Mmadagascar ulitegemea ili Madagascar wafuzu ilitakiwa washinde ulitegemea nini hapoUlitegemea Madagascar kuingia 16 Bora Tena akiongoza kundi mbele ya Nigeria!!?tuanzie hapo mkuu
Hahaha mkuu inaoneka wewe ni bingwa wa kuchana mikeka, me ni muzoefu huwa siweki game nyingi ili nipate pesa ya maana ila huwa naweka game moja au mbili tu harafu naweka pesa ya kutosha
Kiukweli toka naanza kubeti sina hasara ila nina faida au nikutumie screenshot ya mikeka yangu iliopita?
Egypt wanawabamiza hao madogo mapema sanaYaani South Africa wamutoe Egypt kaka?
Naomba unijuze muda wa mechi za leoYap yap!
Mpaka mda huu tia maji tia maji mkuu Morocco anaelekea kunichaniaNaomba unijuze muda wa mechi za leo