Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

Mpira ungekuwa rahisi hivyo basi Barcelona angechukua ubingwa uefa,au Chile Jana angetoboa fainali Copa America.
NB nakuhakikishia ukipata hayo matokeo unayowaza njoo fufua hiii comment yangu.kila la kheri mkuu.
Chile katekenywa na watoto jana
 
Hilo nalo neno, ila Egypt na Algeria lazima kaka tena mapema sana hao waarabu ni shida
Weka tu Odds mkuu.
IMG_20190703_090213.jpg
 
Ulitegemea Madagascar kuingia 16 Bora Tena akiongoza kundi mbele ya Nigeria!!?tuanzie hapo mkuu
Rais wa CAF ni Mmadagascar makamo rais Mnaija lakini pia mke wa kocha wa Naija nae ni Mmadagascar ulitegemea ili Madagascar wafuzu ilitakiwa washinde ulitegemea nini hapo

Yaani Naija ni ya kufungwa kizembe vile sasa subiri kwa mkongo uone
 
Wela screenshot mm nitaweka 1mil
Hahaha mkuu inaoneka wewe ni bingwa wa kuchana mikeka, me ni muzoefu huwa siweki game nyingi ili nipate pesa ya maana ila huwa naweka game moja au mbili tu harafu naweka pesa ya kutosha

Kiukweli toka naanza kubeti sina hasara ila nina faida au nikutumie screenshot ya mikeka yangu iliopita?
 
Back
Top Bottom