Si badoNa usionekane tena humu[emoji3][emoji3][emoji3]
Narudia tena nitatembea na Mama yangu mzazi kutoka Dar mpaka Mwanza kwa mguuEti wasipotoa naenda kutembea na mama Yangu mzazi khaaaaa!!
EBU IFIKE MAALA TUACHE KUWAHUSISHA WAZAZI WETU KATIKA MASUALA YA KIPUMBAVU KABISA.
Ziyech anakosa penat dk ya 90'+5 na game inaisha 1-1.extra time 1-1,penat Benin won it.
N;B Bado pale ukipoweka 200k
Bado mkuu200k imetembea sio??
Mkuu uko vzuri, ila shukran kwa kumhofia moroccoBado mkuu
Niliwapa Egypt na AlgeriaMkuu uko vzuri, ila shukran kwa kumhofia morocco
Mechi ipi kwa mfano mkuu?Haitatokea. Hapo hesabu mechi moja lazima itakuwa Draw.
[emoji26] Ziyach alihujumu buku ten langu fara sana yule jamaaKwa alichokifanya Morocco!am very worried.
Kasema angetembea nae kwa miguu kutoka dar mpaka mwanza not otherwise...kiswahili ni kibana Sana siku hiziEti wasipotoa naenda kutembea na mama Yangu mzazi khaaaaa!!
EBU IFIKE MAALA TUACHE KUWAHUSISHA WAZAZI WETU KATIKA MASUALA YA KIPUMBAVU KABISA.
Ziyech anakosa penat dk ya 90'+5 na game inaisha 1-1.extra time 1-1,penat Benin won it.
N;B Bado pale ukipoweka 200k
Najiandaa kukupokea. Usiwe na wasi wasi sehemu ya kulala na kula ipo. Nitakupokea Nyegezi stendiNarudia tena nitatembea na Mama yangu mzazi kutoka Dar mpaka Mwanza kwa mguu