Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

Unaenda kutembea na mama yako mzazi?

Nadhani mida hii mnatembea wote kuelekea kanisani, acha niamini hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
Mkuu vp umeend kumtembelea mama, maan naon Egypt alichokufany
 
Haki ya Mungu natembea na Mama yangu mzazi kutoka Dar mpaka Mwanza kwa miguu [emoji3][emoji3]

IMG_4294.JPG

Ushaanza safari mkuu..?
Mama muache apumzike, huyu ndio anakufaa utembee nae...
Koh, koh....
 
Unazani kubet ni Rahisi ivo ama kweli nyie mnao kuja na mbwembwe humu kubet hua hamjui
 
***** kimyaaaaa kamali mchezo huu ujinga ndo mana niliacha unapoteza kingi unaingiza kidogo saiv nakula neema ya Mungu tu aendelee kunijaaalia daima
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
Mkuu naona tayar imeshakula kwako
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ngosha mashine naona mashine ya ku bet imekusaga kisawasawa.
 
[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msinicheke wakuu
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
Lete matekeo aisee mkiambiwa bangi mbaya hamsikii
 
***** kimyaaaaa kamali mchezo huu ujinga ndo mana niliacha unapoteza kingi unaingiza kidogo saiv nakula neema ya Mungu tu aendelee kunijaaalia daima
Mkuu acha tu huu mchezo ni kama una laana vile dah, mimi huwa nikipiga hesabu pesa nilizoliwa nachoka kabisa
 
Back
Top Bottom