Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Nipo shemeji, heri ya 77Nimekuham ujue wewe
Nipo shemeji, heri ya 77
Mkuu vp umeend kumtembelea mama, maan naon Egypt alichokufanyWakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa
Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi
Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii
Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi
Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
Haki ya Mungu natembea na Mama yangu mzazi kutoka Dar mpaka Mwanza kwa miguu [emoji3][emoji3]
Hapana.Unaweza kubadili hiyo avatar tafadhali?.
Mkuu naona tayar imeshakula kwakoWakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa
Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi
Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii
Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi
Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
Msinicheke wakuu[emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikubeti mkuu nilikuwa najaribu tu, [emoji26][emoji26][emoji35][emoji35][emoji35]Umepigwawa kilo mbili kizembe sana
Ulibishana na nani mkuu?
Natembea nae ndio kutoka Dar to Mwanza
sijashangaa mana ndio akili za wanaobet zilivyo...
Lete matekeo aisee mkiambiwa bangi mbaya hamsikiiWakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa
Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi
Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii
Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi
Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
Nilikupa onyo mapema tu.[emoji16]My opinion :
Algeria atatoa ila Egypt mkuu inabidi nikuweke katika maombi japo ka chance kapo lakini sio kama kwa Algeria.
Mkuu acha tu huu mchezo ni kama una laana vile dah, mimi huwa nikipiga hesabu pesa nilizoliwa nachoka kabisa***** kimyaaaaa kamali mchezo huu ujinga ndo mana niliacha unapoteza kingi unaingiza kidogo saiv nakula neema ya Mungu tu aendelee kunijaaalia daima
Dah! kweli mkuu!Nilikupa onyo mapema tu.[emoji16]