Jifunafu
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 201
- 746
Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga mkono ili tufike kwenye uzarishaji.
Atakae wiwa kushirikiana na sisi anakaribishwa kutembelea site na pia kuangalia vipimo vya maabara kwa pale tulipofikia.
Location ni wilaya ya Bukombe
Geita Kijiji x,njoo in box tuzungumze zaidi hata kama unakiasi kidogo cha fedha karibu tuweke nguvu pamoja tuchimbe dhahabu.