chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hakuna mahesabu yoyote ambayo ya naweza kutoa jibu kwamba kwa muda tulio nao, nchi inaweza kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba.
Tunajua Lissu na genge lao wana kiu kali ya madaraka wakiamini watakuwa matajiri kwa kutumia fedha za umma. Lakini huwasikii wakiongelea maendeleo ya mwananchi. Wao ni vita ya madaraka tu.
Nchi iende kwenye uchaguzi, haya mengine yataongeleka katika muafaka mwaka 2026