Kwa muendelezo unavyoenda yale yaliyomkuta Manji yataenda kumkuta Glezabhai

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima ziingie nyingi.

Manji hakuelewa kuwa wakati wake umefika, angejiweka pembeni haraka na kuiachia timu.
Timu za Simba na Yanga ni machinery za nchi utapewa na kuzitumia kwa muda. Ukizingua wanakuchomoa.

Tayari tumeshaanza kuona adverts zikionesha uelekeo wa timu. Huku Glezabhai naye akiwa amekaza kwa upande wake. Bwana Glezabhai alijaribu kuanzisha timu inayoitwa African Lyons lakini alikwama.

Yale yaliyomkuta Manji yanaenda kutokea huku Simba. Mangungu yupo pale kwa special mission. Tayari mission imeshasukwa na kukamilika. Glezabhai kawekwa kwenye target.

Hamtaamini macho yenu. Yule tajiri kijana Africa ataporomoshwa ghafla. Ataanza kudaiwa madeni. Atapelekwa mahakamani, kesi nyingi zitaanza kuunguruma. Ataanza kukimbia huku na huku. Ile mbinu yake ya kujiteka haita faa tena.

Barbra Gonzalez hayupo upande wa Glezabhai tena. Jaribu tena hayupo upande wa Glezabhai tena. Mpango umesukwa na ukakubali.

Siku ya mkutano wa simba, watakuja wanasimba ambao wamepitia semina elekezi. Mission itakamilika. And new wawekezaji watajitokeza. Na kazi itasonga mbele.
 
Manji alipotezwa na watu walioko nje ya Yanga. Ila Simba ni vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Pamoja mnamtukana Mo cha msingi jiulizeni kabla ya MO ilikuwaje baada ya MO ilikuwaje.
 
Anajichanganya mwenyewe.hauwezi, kutuambia simba ni mali yako alafu tukakaa kimya. Tangu nipo mtoto mpaka nakua sijawahi kumsikia mtu yeyote akisema simba ni mali yake yeye ndo wa kwanza.
 
Simba inapotezwa na watu wa nje mzee
Waliogoma kujiuzulu ni viongozi waliopo nje ya Simba? Hao waliongea kusema Mo hakuweka 20b ni watu wa nje ya Simba? Mgogoro huu wa Mo na wa Manji ulikuwa ni tofauti sana. Manji kapigwa vita na viongozi wa kiserikali na hakukuwa na mtu yeyote ndani ya Yanga kuonekana ana pigana na Manji.
 
Back
Top Bottom