Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kenge wa kijivu anashangilia tajiri kijana wa Afrika akidondoshwa. Endeleeni Kupigwa na wawekezaji toka Arabuni,Ulaya na Asia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita za Simba na yanga hupiganiwa nje na wachumia tumbo wa kisiasa wanaoamini kwamba Wana nasaba na timu hizo.Pale yanga pametulia kwa sababu licha ya uongozi mazuri Wana siasa Wana nafasi tayari.Sasa Kyle Simba kuna mfanyabiashara anachuma peke yake.NA HII HAIKUBALIKI NA TABAKA LA WANASIASA.Waliogoma kujiuzulu ni viongozi waliopo nje ya Simba? Hao waliongea kusema Mo hakuweka 20b ni watu wa nje ya Simba? Mgogoro huu wa Mo na wa Manji ulikuwa ni tofauti sana. Manji kapigwa vita na viongozi wa kiserikali na hakukuwa na mtu yeyote ndani ya Yanga kuonekana ana pigana na Manji.
🤔🤔🤔🤔🤔Vita za Simba na yanga hupiganiwa nje na wachumia tumbo wa kisiasa wanaoamini kwamba Wana nasaba na timu hizo.Pale yanga pametulia kwa sababu licha ya uongozi mazuri Wana siasa Wana nafasi tayari.Sasa Kyle Simba kuna mfanyabiashara anachuma peke yake.NA HII HAIKUBALIKI NA TABAKA LA WANASIASA.
Simba huanza kuwa mbovu pindi tu wanapofika robo fainali safari hii iliongezeka ubovu baada ya ile pesa ya maandalizi ya Ile African nini ligi SIJUI.🤔🤔🤔🤔🤔
Inafikirisha sana aisee
Mkuu watamla kichwa ila haitakua aggressively kama ya Manji....ila kanjibai nae akili ndefu anasukuma kete kimkakati sanaSio kirahisi hivyo.
Huyo anajua namna ya kucheza na kuwin, ngoja uone. Ila simba mo akiiachia sijui itakuwa na hali gani.Mkuu watamla kichwa ila haitakua aggressively kama ya Manji....ila kanjibai nae akili ndefu anasukuma kete kimkakati sana
Kashajihami mapema sana, Manji alichelewa kusoma alama za nyakati yy mambo yashaharibika yy anafanya press na waandishi wa habariHuyo anajua namna ya kucheza na kuwin, ngoja uone. Ila simba mo akiiachia sijui itakuwa na hali gani.
Ngoja tuone huyu kanjibahi itakuajeKashajihami mapema sana, Manji alichelewa kusoma alama za nyakati yy mambo yashaharibika yy anafanya press na waandishi wa habari
Hata ukisema ataondolewa Simba , ataondolewa kwa sababu ipi? Dadavua ,Me ni yanga ila huyo muhindi hayawezi mkuta ya manji , serikal sio wajinga kias hicho kumbuka ameajiri watanzania zaid ya 25k akifunga viwanda utawapeleka wapi hao watu?
Serikali inalijua hilo ataondolewa tu simba ila sio kufikia ile hatua ya manji
Kwa ninavyoona trend ya wanachama na mashabiki ilivyo Mo is there to stay tena haipiti wiki mbili atakuwa na uhuru wa kurun klabu ile smoothlyKashajihami mapema sana, Manji alichelewa kusoma alama za nyakati yy mambo yashaharibika yy anafanya press na waandishi wa habari
Sema kuna propaganda italetwa ya kutuliza upepo yaweza kua hata kutaka kumchukua Aziz ki au GamondiKwa ninavyoona trend ya wanachama na mashabiki ilivyo Mo is there to stay tena haipiti wiki mbili atakuwa na uhuru wa kurun klabu ile smoothly
Walichojichanganya wale wajumbe ni kitendo cha wote kunukuliwa hapo kabla wakisema Mo anatoa pesa kikamilifu hivyo wao ndiyo wanaonekana wahuni kwa hiyo kama ni kete Mo ana kete ya ushindi dhidi ya wahuni wale kirahisi tu.
Nmesoma hadi nilipofika hapo ulipoandika eti alianzisha timu inaitwa African Lyon nikaacha kusoma. Kama hujui alinunua Mbagala market akabadili jina then akaiuza basi hupaswi kuandika lolote kwakuwa hujui unachokiongeaNikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima ziingie nyingi.
Manji hakuelewa kuwa wakati wake umefika, angejiweka pembeni haraka na kuiachia timu.
Timu za Simba na Yanga ni machinery za nchi utapewa na kuzitumia kwa muda. Ukizingua wanakuchomoa.
Tayari tumeshaanza kuona adverts zikionesha uelekeo wa timu. Huku Glezabhai naye akiwa amekaza kwa upande wake. Bwana Glezabhai alijaribu kuanzisha timu inayoitwa African Lyons lakini alikwama.
Yale yaliyomkuta Manji yanaenda kutokea huku Simba. Mangungu yupo pale kwa special mission. Tayari mission imeshasukwa na kukamilika. Glezabhai kawekwa kwenye target.
Hamtaamini macho yenu. Yule tajiri kijana Africa ataporomoshwa ghafla. Ataanza kudaiwa madeni. Atapelekwa mahakamani, kesi nyingi zitaanza kuunguruma. Ataanza kukimbia huku na huku. Ile mbinu yake ya kujiteka haita faa tena.
Barbra Gonzalez hayupo upande wa Glezabhai tena. Jaribu tena hayupo upande wa Glezabhai tena. Mpango umesukwa na ukakubali.
Siku ya mkutano wa simba, watakuja wanasimba ambao wamepitia semina elekezi. Mission itakamilika. And new wawekezaji watajitokeza. Na kazi itasonga mbele.
Kesi ya Manji na Mo ni tofauti. Kilichomponza Manji na maugomvi ya nyuma na mwendazake. Hawa wawekezaji kwenye hizi timu wapewe sapoti hata kama wana madhaifu. Mpira ni pesa ba ndugu. Simba mshikilieni Mo, maneno yatawapoteza.Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima ziingie nyingi.
Manji hakuelewa kuwa wakati wake umefika, angejiweka pembeni haraka na kuiachia timu.
Timu za Simba na Yanga ni machinery za nchi utapewa na kuzitumia kwa muda. Ukizingua wanakuchomoa.
Tayari tumeshaanza kuona adverts zikionesha uelekeo wa timu. Huku Glezabhai naye akiwa amekaza kwa upande wake. Bwana Glezabhai alijaribu kuanzisha timu inayoitwa African Lyons lakini alikwama.
Yale yaliyomkuta Manji yanaenda kutokea huku Simba. Mangungu yupo pale kwa special mission. Tayari mission imeshasukwa na kukamilika. Glezabhai kawekwa kwenye target.
Hamtaamini macho yenu. Yule tajiri kijana Africa ataporomoshwa ghafla. Ataanza kudaiwa madeni. Atapelekwa mahakamani, kesi nyingi zitaanza kuunguruma. Ataanza kukimbia huku na huku. Ile mbinu yake ya kujiteka haita faa tena.
Barbra Gonzalez hayupo upande wa Glezabhai tena. Jaribu tena hayupo upande wa Glezabhai tena. Mpango umesukwa na ukakubali.
Siku ya mkutano wa simba, watakuja wanasimba ambao wamepitia semina elekezi. Mission itakamilika. And new wawekezaji watajitokeza. Na kazi itasonga mbele.
Hebu yataje hayo maugomvi na mwenda zake.Kesi ya Manji na Mo ni tofauti. Kilichomponza Manji na maugomvi ya nyuma na mwendazake. Hawa wawekezaji kwenye hizi timu wapewe sapoti hata kama wana madhaifu. Mpira ni pesa ba ndugu. Simba mshikilieni Mo, maneno yatawapoteza.
Mkuu kadri siku zinavyokwenda Bongo imenifundisha kuwa never say never, na lolote linawezekana.Huyo kanji ameajiri takribani watz 25,000 amewekeza sana ndani na nje hawezi kudondoshwa kirahisi hivyo.