Kwa muendelezo unavyoenda yale yaliyomkuta Manji yataenda kumkuta Glezabhai

Vita za Simba na yanga hupiganiwa nje na wachumia tumbo wa kisiasa wanaoamini kwamba Wana nasaba na timu hizo.Pale yanga pametulia kwa sababu licha ya uongozi mazuri Wana siasa Wana nafasi tayari.Sasa Kyle Simba kuna mfanyabiashara anachuma peke yake.NA HII HAIKUBALIKI NA TABAKA LA WANASIASA.
 
🤔🤔🤔🤔🤔
Inafikirisha sana aisee
 
Me ni yanga ila huyo muhindi hayawezi mkuta ya manji , serikal sio wajinga kias hicho kumbuka ameajiri watanzania zaid ya 25k akifunga viwanda utawapeleka wapi hao watu?

Serikali inalijua hilo ataondolewa tu simba ila sio kufikia ile hatua ya manji
 
MO aachane na Simba haraka atakaa kwa amani sana, la sivyo naona atapata taabu sana na Simba, sbb timu kama Simba ni imagine ya Taifa letu, sasa ikitokea mhuni anatapeli timu nzima, hiyo itamletea shida sana, zama zimebadilika
 
Me ni yanga ila huyo muhindi hayawezi mkuta ya manji , serikal sio wajinga kias hicho kumbuka ameajiri watanzania zaid ya 25k akifunga viwanda utawapeleka wapi hao watu?

Serikali inalijua hilo ataondolewa tu simba ila sio kufikia ile hatua ya manji
Hata ukisema ataondolewa Simba , ataondolewa kwa sababu ipi? Dadavua ,
 
Kashajihami mapema sana, Manji alichelewa kusoma alama za nyakati yy mambo yashaharibika yy anafanya press na waandishi wa habari
Kwa ninavyoona trend ya wanachama na mashabiki ilivyo Mo is there to stay tena haipiti wiki mbili atakuwa na uhuru wa kurun klabu ile smoothly

Walichojichanganya wale wajumbe ni kitendo cha wote kunukuliwa hapo kabla wakisema Mo anatoa pesa kikamilifu hivyo wao ndiyo wanaonekana wahuni kwa hiyo kama ni kete Mo ana kete ya ushindi dhidi ya wahuni wale kirahisi tu.
 
Kuna mtu kasema eti wajumbe watapangwa hahaha nacheka sana
wajumbe kama ni kupangwa Mo ana uwezo wa kuhonga wajumbe wote na akasepa na kijiji
 
Sema kuna propaganda italetwa ya kutuliza upepo yaweza kua hata kutaka kumchukua Aziz ki au Gamondi
 
Tatizo watu wengi wanarukia kwenye matokeo hawaamgilii kiini.

Issue ya Simba na Yanga is very complex.

Mwongozo ulitolewa na Serikali kuwa Katika timu hizi za wananchi wawekekzaji lazima wawe at least watatu na wasizidi watano. Wote hao wanatakiwa kugawana hizo 49% ya hisa.
Glezabhai hataki.
Sasa katika hii miaka zaidi ya 8 yeye alikuwa hapo Simba kama nani?

Pili kuna jambo watu wengi hawalielewi. Kumuacha mtu mmoja aweze control hizi timu (Simba na Yanga) ni hatari sana, Maana anaweza kuzitumia kisiasa. Mtu anaweza kutengeneza chama cha siasa chap chap na kuwa na members weng.
 
Nmesoma hadi nilipofika hapo ulipoandika eti alianzisha timu inaitwa African Lyon nikaacha kusoma. Kama hujui alinunua Mbagala market akabadili jina then akaiuza basi hupaswi kuandika lolote kwakuwa hujui unachokiongea
 
Kesi ya Manji na Mo ni tofauti. Kilichomponza Manji na maugomvi ya nyuma na mwendazake. Hawa wawekezaji kwenye hizi timu wapewe sapoti hata kama wana madhaifu. Mpira ni pesa ba ndugu. Simba mshikilieni Mo, maneno yatawapoteza.
 
Kesi ya Manji na Mo ni tofauti. Kilichomponza Manji na maugomvi ya nyuma na mwendazake. Hawa wawekezaji kwenye hizi timu wapewe sapoti hata kama wana madhaifu. Mpira ni pesa ba ndugu. Simba mshikilieni Mo, maneno yatawapoteza.
Hebu yataje hayo maugomvi na mwenda zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…