msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 467
- 349
Kwa mjibu wa dini sio dhambiBiblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66.
Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote.
Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi au sio dhambi) kwa mkristo kwa kurejelea (reference) maandiko ya kitabu cha Biblia?
Mana kuna Wakristo wengine wanaosema (amini) si dhambi na kuna wakristo wengine wanaosema (wanaoamini) ni dhambi.
Mungu atusaidie tujue, kukumbushana ukweli wa maandiko/mafundisho yake Mungu kwa staha bila kuhukumu wala kukashifu imani ya mwingine.
Kwa mjibu wa Biblia Neno la Mungu ni dhambi