Kwa mujibu wa Biblia, ni dhambi au si dhambi kwa Mkristo kunywa pombe?

Kwa mjibu wa dini sio dhambi
Kwa mjibu wa Biblia Neno la Mungu ni dhambi
 
Amri kuu katika Ukristo ni Upendo.

Niambie ukinywa pombe na hujakwazana na yoyote yule ukaenda zako kulala dhambi inatoka wapi katika amri kuu ya UPENDO na zile 10 nyingine.
 
Wakatoliki wengi wanakunywa bia kwa uwaz baadhi ya waumini wa madhehebu mengine wanakunywa kwa kificho sijajua tatizo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…