Kwa Mujibu wa Biblia Takatifu, "Machawa" walitendwa hivi

Kwa Mujibu wa Biblia Takatifu, "Machawa" walitendwa hivi

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kama kuna kitu kilikua hakivumiliki kwenye miaka hio ilikua ni "uchawa". Machawa waliuliwa/uwawa upfront bila kupoteza muda. Natamani Sana Enzi zile zingerudi, tungepoteza Vijana wengi Sana.

2 Samweli 4:10
[10]mtu mmoja aliponiambia, akasema, Tazama, Sauli amekufa, akidhani ya kuwa ameleta habari njema, nalimshika, nikamwua, huko Siklagi, ndio ujira niliompa kwa habari zake.
 
In my opinion sio kila uchawa ni mbaya. Binadamu yeyote anahitaji informers kwa malengo mbalimbali. Hata watoto wako atatokea informer which is good for you.

Uchawa wa kupeleka umbeya, fitna, kijicho, uzushi, masengenyo, etc kwa faida binafsi au makundi at the same time kwa hasara au ghrama za wengine ndio mbaya.
 
Uchawa wa kupeleka umbeya, fitna, kijicho, uzushi, masengenyo, etc kwa faida binafsi au makundi at the same time kwa hasara au ghrama za wengine ndio mbaya.
Na huu ndio unaoepelekea mauti
 
Back
Top Bottom