Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha nimekuelewa AnkoWe tema mate chini,
Nchi hii itabaki na nani?πππ
Na huu ndio unaoepelekea mautiUchawa wa kupeleka umbeya, fitna, kijicho, uzushi, masengenyo, etc kwa faida binafsi au makundi at the same time kwa hasara au ghrama za wengine ndio mbaya.
Masengenyo husaliti tumaini, bali mtu mwaminifu hutunza Siri - Mith 11:13.Na huu ndio unaoepelekea mauti
AMENMasengenyo husaliti tumaini, bali mtu mwaminifu hutunza Siri - Mith 11:13.
Neno USALITI limetajwa hapo.