Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamko la viongozi unajifanya haukulisikia jana. Unakuja kuokoteza mambo mtandaoni na kushangilia... Uchaguzi umeisha sasa kazi ya kulipwa kwa propaganda nayo imeisha.
mlitakiwa wana ccm na chademaNajua mnatamani CHADEMA wawemo Bungeni ili kuhalalisha ufedhuli wenu. Haitotokea! Roho ya kishetani kabisa. Mara oh wanarudisha nyuma maendeleo, hatuwataki. Mara oh walete viti maalum na wabunge 4 wa ACT. Furahieni wizi wenu na msiwahusishe CHADEMA na ACT katika haramu yenu hiyo.
Yule sio wa kaskazini.Unaona sasa hawa jamaa walivyokuwa wabinafsi? Yule dada Rukwa aliyeshinda wamemshinikiza akatae Ubunge wake alioupigania na kuusotea kwa jasho na kufanikiwa kuwashawishi Wananchi wamchague huku yeye Halima Mdee aliyekataliwa na wananchi anaenda (anataka) Bungeni kupitia mlango wa nyuma, why? Why, man so selfish?
Unaongea kwa makalio nini.hilo Jimbo apewe Janet.Unaona sasa hawa jamaa walivyokuwa wabinafsi? Yule dada Rukwa aliyeshinda wamemshinikiza akatae Ubunge wake alioupigania na kuusotea kwa jasho na kufanikiwa kuwashawishi Wananchi wamchague huku yeye Halima Mdee aliyekataliwa na wananchi anaenda (anataka) Bungeni kupitia mlango wa nyuma, why? Why, man so selfish?
kashiriki maandamano haramu utakutana na vijana wa mambo sasa watakuchakaza mpaka maji utaita mmaaaaaCHADEMA inakidhi vigezo vya kupata uwakilishi wa viti maalum maana imepata zaidi ya asilimia 5 ya kura za ubunge.
Kutokana na muongozo liwake jua ama mvua Josephati Gwajima anaenda kukutana na Halima Mdee bungeni kama mwenyekiti wa BAWACHA. Mbaya zaidi atakuwa mbunge huru asiye na jimbo la kusemea sijui maji au madawa. Wakati Gwajima atakapokuwa akilalamikia mafuriko, Mdee atakuwa akilisemea taifa pamoja na hayo mafuriko atakayokuwa akilalamikia Gwajima.
Aisee muda wa Gwajima bungeni utakuwa mchungu sana.
Pamoja na yeye pia watakuwepo wanawake wengine machachari. Akiwemo Agnesta Lambart, Lucy Mgabe nakadhalika.
Any way acha tuanze kwanza maandamano ya kudai haki na mimi nitashiriki