Kwa mujibu wa cheo chake ndani ya CHADEMA, sasa Halima Mdee atakuwa Bungeni kama Mbunge Huru. Tutarajie nini?

Jina la Joyce Mukya litatangulia la Halima Mdee
 
Tamko la viongozi unajifanya haukulisikia jana. Unakuja kuokoteza mambo mtandaoni na kushangilia... Uchaguzi umeisha sasa kazi ya kulipwa kwa propaganda nayo imeisha.



Kunywa maji tukiwa tunajiandaa kubadilisha katib
 
Wasaka tonge. Hawawezi kufanya niandamane. Alitegesha sehemu mbili. Akikosa ubunge wa kuteuliwa, anaingia bungeni kwa viti maalum. Huo ndio upinzani.
 
mlitakiwa wana ccm na chadema
kwa wakati huu msiseme kitu,angalieni hali inavyokwenda mpaka mwisho

kisha
Mtapata majibu kamili,bila kuhenyeshana namna hii......

Subra muhimu
 
Yule sio wa kaskazini.

Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Unaongea kwa makalio nini.hilo Jimbo apewe Janet.
 
kashiriki maandamano haramu utakutana na vijana wa mambo sasa watakuchakaza mpaka maji utaita mmaaaaa
 
Tunakutana wapi makamanda, tayari niko barabarani kupigania haki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…