Simba mnahangaika sana.
Nafikiri hiyo sheria ni kwa mchezaji ambae hajacheza champions league round za awaliUna uhakika?! Jaribu kupitia upya maana sheria zilibadilishwa mwaka jana baada ya COVID-19
Mbn yeye Chikwende moja ya sababu ya kukubali kuja Simba, ni kuhakikishiwa nafasi ya kucheza Michezo yote ya Makundi???
Kwa Morison Simba ilikurupuka au haijakurupuka? Ukiweza kujibu hapa ni sawa ila ukiamua kujijibu mwenyewe kimya kimya ni sawa piaMkiambiwa yanga ni utopolo mnakasirika. Simba haikurupuki hata siku 1 CAF ndio wamepitisha timu kuongeza wachezaji kwenye kipindi hiki cha covid. Hivyo chikwende Atacheza kama kawaida.
Kanuni za mashindano zimebadilka sana mfano juzi CAF wamesema kama club inawachezaji 11 inaruhusiwa kucheza hata kama hakuna golikipa , mchezaj yeyote anakaa golini , msipochezaji timu pinzani inapewa ushindi wa goli 2-0Ni uhakika mkuu, hio ni kanuni ya mashindano na haijabadilika
Pia mtandao wa goal.com wameelezea hilo
Pitia hapa,
Kanuni za mashindano zimebadilka sana mfano juzi CAF wamesema kama club inawachezaji 11 inaruhusiwa kucheza hata kama hakuna golikipa , mchezaj yeyote anakaa golini , msipochezaji timu pinzani inapewa ushindi wa goli 2-0
Lakini pia club zilitakiwa kuongeza wachezaji 10 kutoka wale wa awali
Hizi zote sio sheria as sheria , zinatumika muda huu pekee wa covid , wala haziingi kwenye vitabu vya sheria ya kudumu
Wenzetu kuchukua lile birika la kuvutia shisha wanajiona kama wamekuwa mabingwa wa dunia vile.Lazima tuhangaike kwakuwa msimu huu tuna malengo makubwa matatu:
1. Vpl cup
2. CAF semi final or final
2. Azam federation cup
Vikombe vingine vya bonanza hatuna habari navyo, ni changamsha mwili, sehemu ya warm up tu visije kutuumizia wachezaji wetu
Aisee, yamekuwa hayo.Wenzetu kuchukua lile birika la kuvutia shisha wanajiona kama wamekuwa mabingwa wa dunia vile.