SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Utopolo akili zenu ziko masaburini ndiyo maana wachezaji wenu wanapenda sana kubong'oa bong'oaUtelembwe sijui akili zao zipo mahala gani kwenye mwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo akili zenu ziko masaburini ndiyo maana wachezaji wenu wanapenda sana kubong'oa bong'oaUtelembwe sijui akili zao zipo mahala gani kwenye mwili
CAF ni kama Ccm tu.Tatizo CAF huwa wanaigiliza kanuni zao na sheria zao toka UEFA, UEFA wao walishabadilisha hiyo kanuni mwaka jana, hao CAF bado wako nyuma kama kawaida yao wanasubiri muda ufike ndio waitishe kikao cha kuwaiga UEFA.
Hivi mashabiki wa Simba ni lini mtakubali kushindwa? Umeshaliwa kubali ulishanyonyolewa na kuliwa na Mwaka huu mtaliwa sana zaidi ya sana mpaka muisome namba mapigo haya yatakuwa kwa muda mrefu msimu kwa msimu.Yanga imejipanga kwelikweli mnatakiwa mjiandae kisaikolojia kupokea matokeo mtakayokuwa mnayapata vinginevyo mtakufa kwa preshaWenzetu kuchukua lile birika la kuvutia shisha wanajiona kama wamekuwa mabingwa wa dunia vile.
Vipi mkuu Chikwende yupo kwenye safari ya Kuelekea Congo?Mkiambiwa yanga ni utopolo mnakasirika. Simba haikurupuki hata siku 1 CAF ndio wamepitisha timu kuongeza wachezaji kwenye kipindi hiki cha covid. Hivyo chikwende Atacheza kama kawaida.
Kidimbwi FC bado sana kuchukua Ubingwa wa nchi,lile birika lenu la kuvutia shisha mlilopata Zanzibar linawatoshaHivi mashabiki wa Simba ni lini mtakubali kushindwa? Umeshaliwa kubali ulishanyonyolewa na kuliwa na Mwaka huu mtaliwa sana zaidi ya sana mpaka muisome namba mapigo haya yatakuwa kwa muda mrefu msimu kwa msimu.Yanga imejipanga kwelikweli mnatakiwa mjiandae kisaikolojia kupokea matokeo mtakayokuwa mnayapata vinginevyo mtakufa kwa presha
Hawata kujibu milele! Aisee wameliwa, hawa kweli mambumbu!Vipi mkuu Chikwende yupo kwenye safari ya Kuelekea Congo?