Kwa mujibu wa kanuni, Chikwende hatocheza mechi yoyote CAF group stage akiwa na Simba

Tatizo CAF huwa wanaigiliza kanuni zao na sheria zao toka UEFA, UEFA wao walishabadilisha hiyo kanuni mwaka jana, hao CAF bado wako nyuma kama kawaida yao wanasubiri muda ufike ndio waitishe kikao cha kuwaiga UEFA.
CAF ni kama Ccm tu.
 
Wenzetu kuchukua lile birika la kuvutia shisha wanajiona kama wamekuwa mabingwa wa dunia vile.
Hivi mashabiki wa Simba ni lini mtakubali kushindwa? Umeshaliwa kubali ulishanyonyolewa na kuliwa na Mwaka huu mtaliwa sana zaidi ya sana mpaka muisome namba mapigo haya yatakuwa kwa muda mrefu msimu kwa msimu.Yanga imejipanga kwelikweli mnatakiwa mjiandae kisaikolojia kupokea matokeo mtakayokuwa mnayapata vinginevyo mtakufa kwa presha
 
Mkiambiwa yanga ni utopolo mnakasirika. Simba haikurupuki hata siku 1 CAF ndio wamepitisha timu kuongeza wachezaji kwenye kipindi hiki cha covid. Hivyo chikwende Atacheza kama kawaida.
Vipi mkuu Chikwende yupo kwenye safari ya Kuelekea Congo?
 
Kidimbwi FC bado sana kuchukua Ubingwa wa nchi,lile birika lenu la kuvutia shisha mlilopata Zanzibar linawatosha
 
Tulizungumza humu, kwamba Simba tumeingia cha kike ktk usajili wa Chikwende kwa matarajio eti tutamtumia kwenye group stage..!!!

Kazi kwenu mliobisha na kurusha maneno ya kwenye kanga
 
Mkiambiwa yanga ni utopolo mnakasirika. Simba haikurupuki hata siku 1 CAF ndio wamepitisha timu kuongeza wachezaji kwenye kipindi hiki cha covid. Hivyo chikwende Atacheza kama kawaida.

Prince Crown,

Njoo ujishangae huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…