Kwa mujibu wa maandiko na historia ndugu wa karibu na bana Israeli ni uzao wa watoto na wajukuu na vitukuu wa Esau na siyo Ishmael

Kwahiyo Mayahudi ni Ndugu za Esau. Vipi Maarabu nayo ni Ndugu za nani?
 
Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote

Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.

Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka

Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji

Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau

Mbarikiwe sana
Sahihi. Na uzao wa Esau ndio nchi ya Yordan ya sasa na uzao wa Yakobo ndio Israel ya sasa. Uzao wa Ishmael ni Saudi Arabia ya sasa. Wapalestina sio waarabu ni mabaki ya Wafilisti na makabila mengine kama Wayebusi, Wahivi nk ambao Waisrael hawakuweza kuwamaliza kuwaangamiza kama walivyoelekezwa na Mungu. Sasa kupitia dini ya kiislamu wanajifanya nao ni Waarabu wakati sio kweli.
 
Kwanin usiende kule Gaza kuwakumbusha, Hilo....
sisi tunatafuta za kwetu hapa na hatuzipati we unang'ang'ania za huko Israel

.Unazijua za malkia wa nyuki huko Singida?

.Unazijua za Dragon (dege kubwa na joka) ambalo lilikuwepo Dodoma.

Unazijua za mtu alieanzisha ala nzuri za mziki zinazopigwa na kabila la wagog
Tatizo la waafrika hawaandiki historia na wanahadithiana porojo sio facts. Wenzenu wameandika historia yote. Miafrika hata kusoma vitabu ni wavivu!
 
Sahihi. Na uzao wa Esau ndio nchi ya Yordan ya sasa na uzao wa Yakobo ndio Israel ya sasa. Uzao wa Ishmael ni Saudi Arabia ya sasa. Wapalestina sio waarabu ni mabaki ya Wafilisti na makabila mengine kama Wayebusi, Wahivi nk ambao Waisrael hawakuweza kuwamaliza kuwaangamiza kama walivyoelekezwa na Mungu. Sasa kupitia dini ya kiislamu wanajifanya nao ni Waarabu wakati sio kweli.
Tupe na historia yako wewe
 
Hizo
Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali

Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote

Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.

Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka

Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji

Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau

Mbarikiwe sana
Hizo sio kumbukumbu zetu mkuu ni zao kwani sisi ni Wana wa Israel?
 
Kwahiyo wewe watoto wa baba yako mkubwa ni ndugu zako?
Ila waisrael watato wa baba Yao mkubwa sio ndugu zao?
Imani huwa inawatoa watu ufahamu,halafu yeye mgogo ndiye anayejiita Muisiraeli,lakini huyu wa baba mkubwa na mdogo anasema siyo ndugu,
 
Back
Top Bottom