Sisi waafrika ni uzao wa EsauKwahiyo Mayahudi ni Ndugu za Esau. Vipi Maarabu nayo ni Ndugu za nani?
Sahihi. Na uzao wa Esau ndio nchi ya Yordan ya sasa na uzao wa Yakobo ndio Israel ya sasa. Uzao wa Ishmael ni Saudi Arabia ya sasa. Wapalestina sio waarabu ni mabaki ya Wafilisti na makabila mengine kama Wayebusi, Wahivi nk ambao Waisrael hawakuweza kuwamaliza kuwaangamiza kama walivyoelekezwa na Mungu. Sasa kupitia dini ya kiislamu wanajifanya nao ni Waarabu wakati sio kweli.Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote
Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.
Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka
Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji
Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau
Mbarikiwe sana
Tatizo la waafrika hawaandiki historia na wanahadithiana porojo sio facts. Wenzenu wameandika historia yote. Miafrika hata kusoma vitabu ni wavivu!Kwanin usiende kule Gaza kuwakumbusha, Hilo....
sisi tunatafuta za kwetu hapa na hatuzipati we unang'ang'ania za huko Israel
.Unazijua za malkia wa nyuki huko Singida?
.Unazijua za Dragon (dege kubwa na joka) ambalo lilikuwepo Dodoma.
Unazijua za mtu alieanzisha ala nzuri za mziki zinazopigwa na kabila la wagog
Tupe na historia yako weweSahihi. Na uzao wa Esau ndio nchi ya Yordan ya sasa na uzao wa Yakobo ndio Israel ya sasa. Uzao wa Ishmael ni Saudi Arabia ya sasa. Wapalestina sio waarabu ni mabaki ya Wafilisti na makabila mengine kama Wayebusi, Wahivi nk ambao Waisrael hawakuweza kuwamaliza kuwaangamiza kama walivyoelekezwa na Mungu. Sasa kupitia dini ya kiislamu wanajifanya nao ni Waarabu wakati sio kweli.
Hesabu haidanganyi....hakuna wafuasi wa Yesu Israeli!Umekremu vibaya!
Yahudi ni ndugu wa karibu na EsauKwahiyo Mayahudi ni Ndugu za Esau. Vipi Maarabu nayo ni Ndugu za nani?
Ni Ndugu zangu ila wakaribu zaidi ni wababayanguKwahiyo wewe watoto wa baba yako mkubwa sio ndugu zako?
Hizo sio kumbukumbu zetu mkuu ni zao kwani sisi ni Wana wa Israel?Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote
Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ndugu wa karibu wa bana Israel au mayahudi ni watoto au uzao wa Esau.
Israel na Esau ni watoto mapacha Esau akitangulia na baba yao akiitwa Isaka Mama yao akiitwa Rebeka
Nimeona niwakumbushe suala hili Ili kuweka kumbukumbu zetu za kihistoria sawa na kuepusha upotoshaji
Nihitimishe kuwa Mayahudi ndugu zao wa karibu ni uzao wa Esau
Mbarikiwe sana
HeheheWewe ni uzao wa nani?
Kwahiyo wewe watoto wa baba yako mkubwa ni ndugu zako?Ni Ndugu zangu
Imani huwa inawatoa watu ufahamu,halafu yeye mgogo ndiye anayejiita Muisiraeli,lakini huyu wa baba mkubwa na mdogo anasema siyo ndugu,Kwahiyo wewe watoto wa baba yako mkubwa ni ndugu zako?
Ila waisrael watato wa baba Yao mkubwa sio ndugu zao?