Kwa mujibu wa Nyerere, Kikwete hatufai!

We kweli zuzu! Watanzania tunahangaika kujinasua kutoka kwenye katiba mbovu aliyotuachia halaf wewe bado unamfanya nyerere kama reference?...kweli nchi hii mazuzu wanaongezeka kila siku
Mkuu,

Nakusoma sana na nakuzingatia mno, umemaliza kila kitu kwenye hii post yako.
 

unakumbuka aliongoza nchi miaka mingapi? Na tangu aachie ngazi ni miaka mingapi mpaka sasa? Hiyo mifumo unayoisema waliomfuatia hawakuweza kuibaini na kuibadilisha kweli? Kuwa na aibu.
 

Kwani kuna ulazima wa kuitwa baba wa Taifa? Hata akiitwa Mzee Nyerere si inatosha. Acheni kuwa na akili za kizamani. Badilikeni.
 
Mainterahamwe humnukuu nyerere pale yanapoona kuna maslahi yao ya kifisadi!
 
hicho kizee ndo hakitufai kabisa. umasikini tulionao waTanzania huwezi kuutenganisha na nyerere. tatizo ni kuwa kalizoea vya kunyonga, vya kuchinja kasingeviweza.

 
Hivi Nyerere na yeye anacheza bongo movie au ndio nani? Maana wengine wageni hapa
 

Kwani huyu jamaa, mbona nimewahi kusikia alikuwa Lt. Col wa jeshi. Ilikuwaje, iwapo hakumaliza kozi? Funguka zaidi
 

tutajie mhe mbunge riz semaaa usiogpe seeema sisi ni sema taja hayo majina mkuu.
 
Hayo maneno niliyoweka rangi inawezekana hukuwa na maana ya dhahiri ya kutumuaminisha kuwa huyo anayeitwa baba wa taifa hili hakuwa na umuhimu wowote katika taaia. Kikwete mnayemtukuza hapa kasomeshwa kwa sera za huyo usiyemtambua kama baba wa taifa. Wakati mwingine mjifunze kuwa na akili za kushughulikia mambo yaliyopo mbele yetu kuliko kutumia nguvu nyingi kuandika historia upya; matumzi mabaya ya nguvu hiyo ndiyo yanayofanya watanzania tuendelee kuwa masikini kwa vile tunakuwa hatuna muda wa kuangalia sera zetu za sasa bali tunatumia nguvu sana kudiscredit sera za zamani. Siasa ni kipande kimoja cha maisha na historia ni kipande permanent! Hamumjengii Kikiwete jina jema katika historia kwa kutrumia njia ya kumbash Nyerere hasa kwa Vile Kikwete yupo stage nne kutoka kwa Nyerere. Nyerere bashing ingebakia kwa Mwinyi, siyo kwa Kikiwete. Kufanya hivyo ni kuonyesha kuwa hana jipya kama ambavyo tumeona katika miaka minane iliyopita.
 

Now you're talking, aliyosema lissu ndiyo hayo,nyerere hakuwa mungu, sasa ukisema wewe andazi unga was ngano,na akisema lissu no kitumbua unga wa mchele.
Swallow that.
 
Wewe kauzu kweli ina maana wewe hapa upo kuitetea Chadema, mimi siyo kama wewe sishikiwi akili natumia akili yangu kupambanua mambo.

Ungekuwa unapambanua mambo ungekuwa unaunga mkono kila upuuzi wa CCM?!Ni mambo mangapi ya kipuuzi huwa unayatetea hapa jukwaani?

Acha unafiki na kutufanya sisi wajinga!
 
CCM yote na watawala wake,hovyo kabisa akiongoza kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…