Neymar hajawahi kuwa kwenye kiwango cha yoyote yule.▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu.
Inasikitisha sana, kosa kubwa katika maisha ya Neymar ni kuzaliwa Brazil. Nchi hii haistahili hiki kipaji chake na soka lake ."
Said it all. Tozi tu huyo.Neymar hajawahi kuwa kwenye kiwango cha yoyote yule.
Ronaldo was the real Phenomenon, Ronaldinho was an angel. Neymar ni nani zaidi ya bitozi matatoo?
Ubishoo n fan yakee mpiraa kacheza tu kwa sbb alishapewa hcho kipaji na pesaaa kashapata akiwa mdg Sana ,hvyo hana muda wakutumiwa nguvu kubwa Sana wkt kila ktu anacho....kuna watu wmebarikwa mkuu bac tuuuDogo mpira anajua sana, tatizo bishoo sana
Wabrazil hawatakagi shda account zikishasomaa mkuuu ,wanaridhikaga mapemaa sanaa hasa akishamiliki vtu vilivyokuwa ndoto zao....Neymar utozi mwingi, timu inasaka matokeo yeye si wa kutegemewa, yeye si mbeba timu mgongoni, hili tatizo kubwa saana kwake.
Kuujua mpira tu anaujua saana.
Ana kipaji gani zaidi ya show boating??▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu.
Inasikitisha sana, kosa kubwa katika maisha ya Neymar ni kuzaliwa Brazil. Nchi hii haistahili hiki kipaji chake na soka lake ."
Shida mastaa wenzake waliifanyia jambo brazil, wakaja ridhika baadae, ulimwengu wwa soka itakuwa ngumu kumkumbuka neymar kama anavyokumbukwa de lima ama gaucho.Wabrazil hawatakagi shda account zikishasomaa mkuuu ,wanaridhikaga mapemaa sanaa hasa akishamiliki vtu vilivyokuwa ndoto zao....
Sent using Jamii Forums mobile app
Brazil zamani walikuwa wanaukanyaga mpira. Neymar bado sana. Zamani ukiitwa first eleven ya Brazil wewe ni mtu haswa.Neymar hajawahi kuwa kwenye kiwango cha yoyote yule.
Ronaldo was the real Phenomenon, Ronaldinho was an angel. Neymar ni nani zaidi ya bitozi matatoo?
Nimekuelewa aiseeeeUbishoo n fan yakee mpiraa kacheza tu kwa sbb alishapewa hcho kipaji na pesaaa kashapata akiwa mdg Sana ,hvyo hana muda wakutumiwa nguvu kubwa Sana wkt kila ktu anacho....kuna watu wmebarikwa mkuu bac tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wengi wa america wako hivi hasa Brazil, hata Gaucho alichoka mapema, Ronaldo akaanza kunenepa AC Milan n.kWabrazil hawatakagi shda account zikishasomaa mkuuu ,wanaridhikaga mapemaa sanaa hasa akishamiliki vtu vilivyokuwa ndoto zao....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu "The Gunners"😀Brazil ina watu sana, Neymar hata asiporudi uwanjani sioni pengo lake pale, wale jamaa wamejaa na mbaya zaidi wanaupiga mwingi kama klabu fulani ya ligi kuu Uingereza