Kwa mujibu wa Raphinha

Kwa mujibu wa Raphinha

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,585
Reaction score
11,601
▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu.

Inasikitisha sana, kosa kubwa katika maisha ya Neymar ni kuzaliwa Brazil. Nchi hii haistahili hiki kipaji chake na soka lake ."
 
Neymar hajawahi kuwa kwenye kiwango cha yoyote yule.
Ronaldo was the real Phenomenon, Ronaldinho was an angel. Neymar ni nani zaidi ya bitozi matatoo?
 
Neymar or mbappe to united is possible when glazers sell the club
 
Neymar utozi mwingi, timu inasaka matokeo yeye si wa kutegemewa, yeye si mbeba timu mgongoni, hili tatizo kubwa saana kwake.

Kuujua mpira tu anaujua saana.
Wabrazil hawatakagi shda account zikishasomaa mkuuu ,wanaridhikaga mapemaa sanaa hasa akishamiliki vtu vilivyokuwa ndoto zao....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubishoo mwingi uwezo unammaliza watu wanataka matokeo ona mbape kawasha moto Jana sasa ngoja huyo Neymar...Bora hata Coutinho yuko serious kuliko neymar
 
  • Thanks
Reactions: K11
▪︎Raphinha: 🗣 "Mashabiki wa Argentina wanamchukulia Messi kama mungu, Mashabiki wa Ureno wanamchukulia Ronaldo kama Mfalme, huku mashabiki wa Brazil wakishangilia Neymar kuvunjika mguu.

Inasikitisha sana, kosa kubwa katika maisha ya Neymar ni kuzaliwa Brazil. Nchi hii haistahili hiki kipaji chake na soka lake ."
Ana kipaji gani zaidi ya show boating??
 
Vijana wengi wa america wako hivi hasa Brazil, hata Gaucho alichoka mapema, Ronaldo akaanza kunenepa AC Milan
Ni America Kusini, Latin America
 
Back
Top Bottom