Kwa mujibu wa Raphinha

Brazil ina watu sana, Neymar hata asiporudi uwanjani sioni pengo lake pale, wale jamaa wamejaa na mbaya zaidi wanaupiga mwingi kama klabu fulani ya ligi kuu Uingereza
Ungemalizia tu kusema Aseno
 
Huyo Neema hajanivutiaga katika uchezaji wake, hata kwenye nomination za tuzo haonekani licha ya kutajwa sana, hata kama ana kipaji lakini hajakifanyia KAZI kama akina Messi, Ronaldo, Ronaldinho, na wengine waliofanya makubwa, yeye bado hajafanya makubwa katika soka tofauti na matarajio ya wengi
 
Neymer hata asipokuwepo Brazil inapata matokeo, ubishoo umemjaa na huu ndo msimu wake wa mwisho wa kucheza world cup.
hajaacha historia yoyote kwenye timu yake ya taifa
 
Uwe unajitahidi kuweka “source” ya taarifa zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…